Tunduma: Yanayojiri kwenye Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA

Joe mimi nawafuatilia kwa karibu niko hapa NFS , lakini leo machadema yamepata watu wengi, kuna vibibi havina meno eti navyo vinasema mabadiliko lazima sijui vinyakyusa hivi vibibi
Hakika
 
Kumedoda nini mbona hujaweka picha mpaka sasa
 
Tunduma na Sumbawanga wanajitambua sio kama mikoa mingine
 
Asante sana wana Tunduma ngome Pendwa ya cdm kanda ya nyanda za juu kusini.

Mmelionyesha taifa kuwa mapenzi ya chama ni kutoka moyoni.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…