Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wewe kenge ni mwizi wa bodaboda nini!?,umewahi kupoteza ndugu kutokana na vibaka,panya road, jambazi etc!???, Katika mapambano huwa inatumika silaha yoyote,kama polisi walishindwa kazi unataka jeshi liangalie tu?,nyie ndo huwa mnatetea wezi wanaouawa Kwa risasi eti ilitakiwa wapelekwe mahakamani, wakati mwingine bora kukaa kimya kuliko kuonyesha utaahira wako.
Haijalishi siyo kazi Jeshi, ni kazi ya Polisi, ukiona Jeshi labda useme Tanzania ni failed state, lkn kazi ya Jeshi siyo kukamata Wahalifu, Jeshi anakuwa trained kulinda mipaka ya nchi dhidi ya adui mgeni na siyo mwendesha bodaboda.
Hivyo usiweke emotions zako kwenye mambo ya msingi, ni scandal kubwa sana kwa Jeshi la nchi kujishughulisha na vibaka, hiyo ni failed state!