Mkuu
Kijakazi umejitahidi kuwaelimisha achana nao, haya ndio matokeo ya elimu mfu iliyoleta upumbavu SIO ujinga tena, Jeshi wamepewa mafunzo ya kulinda mipaka ya nchi na ndio kiapo chao,kwa tuliopitia JKT original sio upuuzi mwingine ,katika zile kwata zaidi ya 60 hakuna hata kwata moja inayohusu raia, ni kwata za vita tu ndio maana kule hakuna rubber bullets au mabomu ya majonzi,kule kuna live bullets only na ndio ipo ndani ya kwata ya kijeshi, unapoona jeshi Lina patrol mipakani elewa wana live bullets na wakiingia mitaani pia elewa wana live bullets (shoot to kill),katika maisha yangu hapa Tanzania, binafsi nimeona mara mbili tu jeshi likiingia mitaani (matakwa ya politicians sio makamanda),machafuko ya machinga kariakoo na mbeya siku ya uchaguzi mkuu (why waliingiza jeshi mitaani, wao wanajua na sijui kama wameshawi ku patrol tena Mbeya),kutumia jeshi to control raia ni kielelezo cha failed state.