Tungeanza kufanya slums upgrade maeneo ya uswazi Tanzania

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Just my thoughts

Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi

Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na binadamu kuishi

Mfano, kupaka rangi nyumba, kuezua mabati ya kutu na kuweka ya rangi, ku install underground drainage system ambazo ni closed, hazipo open, na kuongeza bustani ndogo pembeni mwa barabara

BEFORE
Streets_of_Tandale,_Kinondoni_MC.jpg

AFTER
1774779796054.png

BEFORE
Tandale_ward,_Kinondoni_MC.jpg

AFTER
1774778930197.png

BEFORE
suburb-of-the-city-of-mbeya-tanzania-africa-W1YC59.jpg

AFTER

file_00000000046471f58e6d8bb36eff5484.png

BEFORE
img_3750.jpg

AFTER
1774793879234.png

BEFORE
PXL_20260217_084155667.jpg

AFTER
1774794222896.png
 
Hio ni nature Mzee yaan bata unaweza ukamwekea maji masafi pale na maji machafu pale atayaacha maji masafi kwanza ataenda kucheza kwenye maji machafu weee atakokoboa uchafu ulee weee akimaliza hapo saasa utamuona bata anayafuata maji masafi anaenda kuyachafu cha kwanza atayaoga atahakikisha yote yanaloa lile tope alilotoa kwenye maji machafu. Niishie hapo.
 
Umewahi kusikia kuhusu Broken Windows Theory?
Ukiacha dalili ndogo za uchafu au uharibifu (kama dirisha lililovunjika, taka, graffiti), watu wataona ni kawaida na wataongeza uharibifu zaidi.
Ukifanya mazingira yawe safi na nadhifu, watu wengi wataheshimu na kutunza eneo hilo.

Majaribio mengi yamefanywa na yameprove kuwa ni kweli

Kuna mradi maarufu uliitwa Favela-Bairro ulifanywa Rio de Janeiro, Brasil na ulilenga mitaa ya masikini
Walichofanya waliweka barabara nzuri na drainage, walipaka rangi nyumba, wakaweka taa za barabarani, wakaongeza huduma za jamii

Baada ya muda mradi ukaanza kuprove Broken Window Theory
Uchafu ulipungua sana
Watu walianza kujali mazingira yao
Uhalifu pia ulipungua maeneo mengi

Sio tu mradi huo, kuna Medellin Transformation wa Colombia, kuna miradi ya Singapore 1980s, New York 1990s yote ilileta matokeo yanayofanana

Binadamu ndio wapo hivyo
 
Kama ni mwelewa atakuwa ameelewa
 
Lakini sio binadamu wa Afrika.
Ndio maana miji ya Tanzania iliyo na usafi unakuta ni kwa sababu ya sheria kali zilizowekwa na mamlaka, wakati watu walipaswa tu wapende usafi pasipo hofu ya kupigwa faini.
Ndiyo maana unakuta anayeogopa kutupa makopo barabarani akiwa Moshi, huyo huyo akija Dsm anashiriki kikamilifu kuchafua mazingira.
 
Sio kweli nimeishi hayo mazingira na naelewa inavyokua, na niliwahi kulipia ukarabati wa kioo cha mlango ambacho kilivunjwa na mtu mwingine mlango ukakaa katika hali hatarishi kwa muda mrefu sana mpaka mimi nilipoita fundi akabadirisha kioo lakini hakuna ambae aliongeza ukubwa wa mpasuko wa kioo au kuvunja vioo vingine eti sababu tu kioo kimoja kimevunjwa hio sio kweli nimekupa uhalisia ulivyo sio simulizi za theory ni practical experience
 
Unachokisema wewe ndio maana halisi ya hiyo theory
Mtu akiwa Moshi anaogopa kutupa taka kwa sababu mazingira ya Moshi ni masafi
Lakini akiwa Dar atatupa uchafu hovyo kwa sababu ya mazingira machafu ya Dar
Maana yake ni nini. Kama Dar ikiwekwa sheria kali na ikaanza kusafishwa basi watu wataogopa kutupa taka pia
 
Kwanini watu waishi kwa kuongozwa na sheria kwenye kila jambo kama upo uwezekano wa kuwafanya waone hiki ni sahihi na hiki si sahihi?
 
Sio kweli nimeishi hayo mazingira na naelewa inavyokua, na niliwahi kulipia ukarabati wa kioo cha mlango ambacho kilivunjwa na mtu mwingine mlango ukakaa katika hali hatarishi kwa muda mrefu sana mpaka mimi nilipoita fundi akabadirisha kioo lakini hakuna ambae aliongeza ukubwa wa mpasuko wa kioo au kuvunja vioo vingine eti sababu tu kioo kimoja kimevunjwa hio sio kweli nimekupa uhalisia ulivyo sio simulizi za theory ni practical experience
Umekata maelezo yangu niliyokupa
Umejibu nusu, nimetoa hii theory in relation to slum upgrade
Inawezekana imeshindwa kufanya kazi kwenye kitu ambacho inaongelea exactly lakini inafanya kazi vizuri sana ukiileta kwenye slums upgrade
Nimekuoa mifano ya

Rio de Janeiro
Colombia
Singapore 1980s
New York 1990s

Maeneo ambayo watu walibadilika baada ya slums zao kuwa upgraded
 
Kwanini watu waishi kwa kuongozwa na sheria kwenye kila jambo kama upo uwezekano wa kuwafanya waone hiki ni sahihi na hiki si sahihi?
Uwezekano upo ila ni mdogo
Ukiweka sheria chance inaongezeka. Hata Rwanda hakikufikia level ile ya usafi bila sheria
Inaanza kama sheria, baada ya miaka kupita ndio inakuwa utamaduni
 
Nilichogundua Watanzania wengi wanapinga idea za slums upgrade, hii sio mara ya kwanza kuona hivi
Sasa kwa nini watu wanalalamika kuhusu uswazi ilihali hawataki pabadilishwe. It means tumeridhika na hali yetu kwa hiyo hatupaswi kulalamika
 
Mwafrika hawezi kuwa na ustaarabu huo.
Mtu ambaye anaishi nyumba ya kupanga na wenzake kadhaa lakini hataki kuchangia bill ya maji unafikiria ni mtu wa aina gani.
Shida inaanzia uongozi mkuu,viongozi kama wanakua na maono ya kuwabadilisha watu wao inawezekana sana,ila hao viongozi hawajali,kwa mfano kuna kauli ilitoka huko wizara ya ardhi ni marufuku kuuziana kiwanja chini ya mita 20-20,lakini huko mitaani serikali za mitaa zinasimamia uuzaji wa viwanja hadi 5-5,kikubwa wao wanapata mgao wao,mipango jiji imekua duni pia japo utakuta maeneo mengi ya miji mipya watu wanajenga nyumba nzuri ila si mpangilio mzuri na serikali inawaachia tu
PXL_20251221_140653433.jpg
 
Fika maeneo km ya Maji Chumvi uone zile nyumba zilivyopandiana kwenye vile vimiinuko halafu uje upya na plan zako za kwenye PDF nitakusikiliza
Kwanza maeneo ya uswazi ni mengi, mi sipajui huko maji ya chumvi lakini najua yapo maeneo mengi ya uswazi yanayoweza kuwa transformed

Nini solution ya maeneo ya uswazi ambayo yameshajengwa hovyo tayari, Tanzania?
 
Shida inaanzia uongozi mkuu,viongozi kama wanakua na maono ya kuwabadilisha watu wao inawezekana sana,ila hao viongozi hawajali,kwa mfano kuna kauli ilitoka huko wizara ya ardhi ni marufuku kuuziana kiwanja chini ya mita 20-20,lakini huko mitaani serikali za mitaa zinasimamia uuzaji wa viwanja hadi 5-5,kikubwa wao wanapata mgao wao,mipango jiji imekua duni pia japo utakuta maeneo mengi ya miji mipya watu wanajenga nyumba nzuri ila si mpangilio mzuri na serikali inawaachia tuView attachment 3564101
Moja ya vitu vinavyoniuma Tanzania ni hiki. Kwamba sikuhizi watu wameanza kujenga nyumba nzuri lakini wanaachwa wajenge bila mpangilio matokeo yake mazingira yanakuwa hata hayavutii
Ni kama nyumba nzuri zimekuwa wasted.

Watu wanajenga kiholela sana, sipati picha 20 years to come 😢
 
Kwanza maeneo ya uswazi ni mengi, mi sipajui huko maji ya chumvi lakini najua yapo maeneo mengi ya uswazi yanayoweza kuwa transformed

Nini solution ya maeneo ya uswazi ambayo yameshajengwa hovyo tayari, Tanzania?
Ndio maana hapa hatuwezi kuelewana kabisa ushafika Kibondemaji ukapaona palivyo?
 
Back
Top Bottom