Tungeanza kufanya slums upgrade maeneo ya uswazi Tanzania

Leta picha hata moja tu za hayo maeneo unayosema hayawezi kubadilika
Wewe nataka ufike sio picha ukifika hayo maeneo yenye miinuko ambayo watu wamejenga km kule Kinyerezi juu njia ya Malamba km unaelekea Mbezi Luis angalia nyumba zilivyopangika sasa wale unaenda kuwaambia nini kwa mfano?
 
Bila picha unakuwa unaongea tu nonsense
 
Nilichogundua Watanzania wengi wanapinga idea za slums upgrade, hii sio mara ya kwanza kuona hivi
Sasa kwa nini watu wanalalamika kuhusu uswazi ilihali hawataki pabadilishwe. It means tumeridhika na hali yetu kwa hiyo hatupaswi kulalamika
Ogopa kundi la wajinga kufurahia kuishi kwenye slums huku wakiona ni sehemu ya maisha au utamaduni.
Mtu wa aina hii hata akienda maeneo yaliyo planned mawazo yake huwa ni kuona wapi ataweka Genge la nyanya au kibanda Cha chips.
 
Kabisa mkuu
Mbaya zaidi wanaamini ni haki yao kuharibu mazingira
Mfano mzuri ni hizi barabara zinazofanyiwa ukarabati hapa Dar es salaam ziko safi na wameweka paving vizuri kwa ajili ya watembea kwa miguu
Naamini baada ya muda machinga wataanza kupanga meza na kuona ni sehemu sahihi ya kufanya biashara zao
 
Just my thoughts

Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi

Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na binadamu kuishi

Mfano, kupaka rangi nyumba, kuezua mabati ya kutu na kuweka ya rangi, ku install underground drainage system ambazo ni closed, hazipo open, na kuongeza bustani ndogo pembeni mwa barabara

BEFORE
View attachment 3564071

AFTER
View attachment 3564072

BEFORE
View attachment 3564073View attachment 3564074

BEFORE
View attachment 3564075

AFTER

View attachment 3564079

BEFORE
View attachment 3564080

AFTER
View attachment 3564081
Kwahiyo AI imeshindwa kuondoa hayo mawe juu kwenye bati mpya
 
All clear
1774793879234.png
 
Just my thoughts

Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi

Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na binadamu kuishi

Mfano, kupaka rangi nyumba, kuezua mabati ya kutu na kuweka ya rangi, ku install underground drainage system ambazo ni closed, hazipo open, na kuongeza bustani ndogo pembeni mwa barabara

BEFORE
View attachment 3564071

AFTER
View attachment 3564072

BEFORE
View attachment 3564073

AFTER
View attachment 3564074

BEFORE
View attachment 3564075

AFTER

View attachment 3564079

BEFORE
View attachment 3564080

AFTER
View attachment 3564152
Miafrica imelaaniwa
 
Ogopa kundi la wajinga kufurahia kuishi kwenye slums huku wakiona ni sehemu ya maisha au utamaduni.
Mtu wa aina hii hata akienda maeneo yaliyo planned mawazo yake huwa ni kuona wapi ataweka Genge la nyanya au kibanda Cha chips.
Inasikitisha sana
Akili za Watanzania wengi zinataka mabadiliko lakini hazipo tayari na mabadiliko
 
Naunga mkono hoja,mfano maeneo kama kinondoni shamba,mwanyamala kisiwani,kinondoni msisiri,msasani bonded la mpunga zile slums zinatakiwa ziwe upgraded

Ova
 
Uwezekano upo ila ni mdogo
Ukiweka sheria chance inaongezeka. Hata Rwanda hakikufikia level ile ya usafi bila sheria
Inaanza kama sheria, baada ya miaka kupita ndio inakuwa utamaduni
Kuna nyumba mpya za polisi zilijengwa kule maeneo ya Kunduchi nafikiri panaitwa Kilongawima. Wakati wa ufunguzi watu wengi hata humu JF waliponda na kusema polisi ni wachafu hizo nyumba hazitafika miezi sita zitakuwa takataka. Hivi ninavyoandika sasa zile nyumba zinaweza kuwa na miaka 5 au 7 ziko vile vile. Nikachunguza nyumba chafu za polisi nyingi sio chafu ni chakavu,nyumba zimejengwa enzi za uhuru hadi leo hazijafanyiwa matengenezo unategemea zitakuaje? Kuhusu point yako ni kama upite mtaani huku umeshika uchafu unatafuta pa kutupa ukikuta hapo mtaani watu wametupa takataka ni rahisi na wewe kutupa hapo kwemye huo uchafu ila ukipita mtaa mzima msafi si rahisi kutupa takataka ingawa uchafu ni culture na sheria kali zinafanya watu waache culture za kishenzi.
 
Hapa sawa

Kusema kweli inapendeza ila ni gharama plus umasikini wa walio wengi hiyo upgrade inabaki kwenye ndoto
Ila sio gharama kihivyo ukifananisha na kujenga apartments
Maana mara nyingi solution za slums ni aidha kuzifanyia upgrading au kubomoa nyumba na kulazimisha watu waishi kwenye apartments
Upgrading ni cheaper. Inaweza kufanywa kwa phases, labda Phase 1 unaanza na Tandale pekee, phase 2 unahamia Manzese hivyo hivyo kadri miaka inavyoenda ndio mnapanga kufikia maeneo mengi. Una deal na slums tu basi.
Mbona miradi expensive kama SGR, viwanja vikubwa vya mpira, mji wa kiserikali Dodoma nk inafanywa. Hata hii hatushindwi

Pia waanze kusimamia ujenzi ili kuzuia ujenzi holela tusije kupata tena maeneo kama hayo
 
Nilichogundua Watanzania wengi wanapinga idea za slums upgrade, hii sio mara ya kwanza kuona hivi
Sasa kwa nini watu wanalalamika kuhusu uswazi ilihali hawataki pabadilishwe. It means tumeridhika na hali yetu kwa hiyo hatupaswi kulalamika
Wanahofia kodi zitapanda
 
Ila sio gharama kihivyo ukifananisha na kujenga apartments
Maana mara nyingi solution za slums ni aidha kuzifanyia upgrading au kubomoa nyumba na kulazimisha watu waishi kwenye apartments
Upgrading ni cheaper. Inaweza kufanywa kwa phases, labda Phase 1 unaanza na Tandale pekee, phase 2 unahamia Manzese hivyo hivyo kadri miaka inavyoenda ndio mnapanga kufikia maeneo mengi. Una deal na slums tu basi.
Mbona miradi expensive kama SGR, viwanja vikubwa vya mpira, mji wa kiserikali Dodoma nk inafanywa. Hata hii hatushindwi

Pia waanze kusimamia ujenzi ili kuzuia ujenzi holela tusije kupata tena maeneo kama hayo
Wazo zuri ila kwa Serikali yetu wakufanyie upgrade kwenye nyumba yako for free! Hapo itakuwa dunia inakaribia kuisha

Wanachoweza hapo labda ni kutoa amri kuwa kila mtu afanyie upgrade nyumba yake na kutoa ukomo wa siku la si hivyo ananyang'anywa anepewa muekezaji
 
Kuna wazee wa mtaa wapo tayari kuwaroga ili mradi tu msilete mabadiliko
 
Kuna nyumba mpya za polisi zilijengwa kule maeneo ya Kunduchi nafikiri panaitwa Kilongawima. Wakati wa ufunguzi watu wengi hata humu JF waliponda na kusema polisi ni wachafu hizo nyumba hazitafika miezi sita zitakuwa takataka. Hivi ninavyoandika sasa zile nyumba zinaweza kuwa na miaka 5 au 7 ziko vile vile. Nikachunguza nyumba chafu za polisi nyingi sio chafu ni chakavu,nyumba zimejengwa enzi za uhuru hadi leo hazijafanyiwa matengenezo unategemea zitakuaje? Kuhusu point yako ni kama upite mtaani huku umeshika uchafu unatafuta pa kutupa ukikuta hapo mtaani watu wametupa takataka ni rahisi na wewe kutupa hapo kwemye huo uchafu ila ukipita mtaa mzima msafi si rahisi kutupa takataka ingawa uchafu ni culture na sheria kali zinafanya watu waache culture za kishenzi.
Sahihi mkuu
Mazingira machafu yana attract uchafu zaidi
 
Wazo zuri ila kwa Serikali yetu wakufanyie upgrade kwenye nyumba yako for free! Hapo itakuwa dunia inakaribia kuisha

Wanachoweza hapo labda ni kutoa amri kuwa kila mtu afanyie upgrade nyumba yake na kutoa ukomo wa siku la si hivyo ananyang'anywa anepewa muekezaji
Hata hii imekaa sawa pia, japo hata serikali inaweza kufanya kwa sababu hao wananchi wanaokaa uswazi ni walipa kodi pia
Unaweza pia kuweka sheria kila mwananchi a-upgrade nyumba yake, apake rangi aweke na bati la rangi, atoe lile bati la kutu. Unatoa miezi 6-12 wafanye hivyo la sivyo wahamishwe na kulipwa fidia (kitu ambacho wengi hawataki) au kulipishwa faini
Halafu vitu kama drainage systems, dustbins, kurekebisha barabara na vibustani kwa mahali inapowezekana vifanywe na serikali ya jiji. Pia kuweka usimamizi mkali dhidi ya kutupa taka hovyo
Lengo tu watu waishi kistaarabu
 
Nyumba nyingi za uswazi ni za urithi hii nayo ni sababu za kuwa chakavu maana warithi wanajua kudai Kodi tu kuboresha ni kazi ya marehemu aliyejenga nyumba yake bora Serikali iingilie kati kwakweli
 
Back
Top Bottom