Umewahi kusikia kuhusu Broken Windows Theory?Hio ni nature Mzee yaan bata unaweza ukamwekea maji masafi pale na maji machafu pale atayaacha maji masafi kwanza ataenda kucheza kwenye maji machafu weee atakokoboa uchafu ulee weee akimaliza hapo saasa utamuona bata anayafuata maji masafi anaenda kuyachafu cha kwanza atayaoga atahakikisha yote yanaloa lile tope alilotoa kwenye maji machafu. Niishie hapo.
Kama ni mwelewa atakuwa ameelewaHio ni nature Mzee yaan bata unaweza ukamwekea maji masafi pale na maji machafu pale atayaacha maji masafi kwanza ataenda kucheza kwenye maji machafu weee atakokoboa uchafu ulee weee akimaliza hapo saasa utamuona bata anayafuata maji masafi anaenda kuyachafu cha kwanza atayaoga atahakikisha yote yanaloa lile tope alilotoa kwenye maji machafu. Niishie hapo.
Lakini sio binadamu wa Afrika.Umewahi kusikia kuhusu Broken Windows Theory?
Ukiacha dalili ndogo za uchafu au uharibifu (kama dirisha lililovunjika, taka, graffiti), watu wataona ni kawaida na wataongeza uharibifu zaidi.
Ukifanya mazingira yawe safi na nadhifu, watu wengi wataheshimu na kutunza eneo hilo.
Majaribio mengi yamefanywa na yameprove kuwa ni kweli
Kuna mradi maarufu uliitwa Favela-Bairro ulifanywa Rio de Janeiro, Brasil na ulilenga mitaa ya masikini
Walichofanya waliweka barabara nzuri na drainage, walipaka rangi nyumba, wakaweka taa za barabarani, wakaongeza huduma za jamii
Baada ya muda mradi ukaanza kuprove Broken Window Theory
Uchafu ulipungua sana
Watu walianza kujali mazingira yao
Uhalifu pia ulipungua maeneo mengi
Sio tu mradi huo, kuna Medellin Transformation wa Colombia, kuna miradi ya Singapore 1980s, New York 1990s yote ilileta matokeo yanayofanana
Binadamu ndio wapo hivyo
Sio kweli nimeishi hayo mazingira na naelewa inavyokua, na niliwahi kulipia ukarabati wa kioo cha mlango ambacho kilivunjwa na mtu mwingine mlango ukakaa katika hali hatarishi kwa muda mrefu sana mpaka mimi nilipoita fundi akabadirisha kioo lakini hakuna ambae aliongeza ukubwa wa mpasuko wa kioo au kuvunja vioo vingine eti sababu tu kioo kimoja kimevunjwa hio sio kweli nimekupa uhalisia ulivyo sio simulizi za theory ni practical experienceUkiacha dalili ndogo za uchafu au uharibifu (kama dirisha lililovunjika, taka, graffiti), watu wataona ni kawaida na wataongeza uharibifu zaidi.
Unachokisema wewe ndio maana halisi ya hiyo theoryLakini sio binadamu wa Afrika.
Ndio maana miji ya Tanzania iliyo na usafi unakuta ni kwa sababu ya sheria kali zilizowekwa na mamlaka, wakati watu walipaswa tu wapende usafi pasipo hofu ya kupigwa faini.
Ndiyo maana unakuta anayeogopa kutupa makopo barabarani akiwa Moshi, huyo huyo akija Dsm anashiriki kikamilifu kuchafua mazingira.
Kwanini watu waishi kwa kuongozwa na sheria kwenye kila jambo kama upo uwezekano wa kuwafanya waone hiki ni sahihi na hiki si sahihi?Unachokisema wewe ndio maana halisi ya hiyo theory
Mtu akiwa Moshi anaogopa kutupa taka kwa sababu mazingira ya Moshi ni masafi
Lakini akiwa Dar atatupa uchafu hovyo kwa sababu ya mazingira machafu ya Dar
Maana yake ni nini. Kama Dar ikiwekwa sheria kali na ikaanza kusafishwa basi watu wataogopa kutupa taka pia
Umekata maelezo yangu niliyokupaSio kweli nimeishi hayo mazingira na naelewa inavyokua, na niliwahi kulipia ukarabati wa kioo cha mlango ambacho kilivunjwa na mtu mwingine mlango ukakaa katika hali hatarishi kwa muda mrefu sana mpaka mimi nilipoita fundi akabadirisha kioo lakini hakuna ambae aliongeza ukubwa wa mpasuko wa kioo au kuvunja vioo vingine eti sababu tu kioo kimoja kimevunjwa hio sio kweli nimekupa uhalisia ulivyo sio simulizi za theory ni practical experience
Uwezekano upo ila ni mdogoKwanini watu waishi kwa kuongozwa na sheria kwenye kila jambo kama upo uwezekano wa kuwafanya waone hiki ni sahihi na hiki si sahihi?
Shida inaanzia uongozi mkuu,viongozi kama wanakua na maono ya kuwabadilisha watu wao inawezekana sana,ila hao viongozi hawajali,kwa mfano kuna kauli ilitoka huko wizara ya ardhi ni marufuku kuuziana kiwanja chini ya mita 20-20,lakini huko mitaani serikali za mitaa zinasimamia uuzaji wa viwanja hadi 5-5,kikubwa wao wanapata mgao wao,mipango jiji imekua duni pia japo utakuta maeneo mengi ya miji mipya watu wanajenga nyumba nzuri ila si mpangilio mzuri na serikali inawaachia tuMwafrika hawezi kuwa na ustaarabu huo.
Mtu ambaye anaishi nyumba ya kupanga na wenzake kadhaa lakini hataki kuchangia bill ya maji unafikiria ni mtu wa aina gani.
Fika maeneo km ya Maji Chumvi uone zile nyumba zilivyopandiana kwenye vile vimiinuko halafu uje upya na plan zako za kwenye PDF nitakusikilizaMaeneo ambayo watu walibadilika baada ya slums zao kuwa upgraded
Kwanza maeneo ya uswazi ni mengi, mi sipajui huko maji ya chumvi lakini najua yapo maeneo mengi ya uswazi yanayoweza kuwa transformedFika maeneo km ya Maji Chumvi uone zile nyumba zilivyopandiana kwenye vile vimiinuko halafu uje upya na plan zako za kwenye PDF nitakusikiliza
Moja ya vitu vinavyoniuma Tanzania ni hiki. Kwamba sikuhizi watu wameanza kujenga nyumba nzuri lakini wanaachwa wajenge bila mpangilio matokeo yake mazingira yanakuwa hata hayavutiiShida inaanzia uongozi mkuu,viongozi kama wanakua na maono ya kuwabadilisha watu wao inawezekana sana,ila hao viongozi hawajali,kwa mfano kuna kauli ilitoka huko wizara ya ardhi ni marufuku kuuziana kiwanja chini ya mita 20-20,lakini huko mitaani serikali za mitaa zinasimamia uuzaji wa viwanja hadi 5-5,kikubwa wao wanapata mgao wao,mipango jiji imekua duni pia japo utakuta maeneo mengi ya miji mipya watu wanajenga nyumba nzuri ila si mpangilio mzuri na serikali inawaachia tuView attachment 3564101
Ndio maana hapa hatuwezi kuelewana kabisa ushafika Kibondemaji ukapaona palivyo?Kwanza maeneo ya uswazi ni mengi, mi sipajui huko maji ya chumvi lakini najua yapo maeneo mengi ya uswazi yanayoweza kuwa transformed
Nini solution ya maeneo ya uswazi ambayo yameshajengwa hovyo tayari, Tanzania?
Hata Kimbangulile hujawahi fika kabisa na haupajui? Basi hapa kazi tunayoNilikuwa nalenga Tandale, Mbagala, Vingunguti, Chang'ombe nk
Au slums za Mbeya zote ni upgradeable
Huko kwingine mimi sijafika