M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Mar 29, 2026 #41 VERBOSE said: Fika maeneo km ya Maji Chumvi uone zile nyumba zilivyopandiana kwenye vile vimiinuko halafu uje upya na plan zako za kwenye PDF nitakusikiliza Click to expand... Hapo umenikumbusha na yale majumba + vijumba vya maeneo ya Kifuru.
VERBOSE said: Fika maeneo km ya Maji Chumvi uone zile nyumba zilivyopandiana kwenye vile vimiinuko halafu uje upya na plan zako za kwenye PDF nitakusikiliza Click to expand... Hapo umenikumbusha na yale majumba + vijumba vya maeneo ya Kifuru.
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 6,388 Reaction score 6,839 Mar 29, 2026 #42 Population inavyozidi kuwa kubwa ndio hali inazidi kuwa mbaya
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 8,000 Reaction score 16,414 Mar 31, 2026 Thread starter #43 Kumbe sio peke yangu anayetamani Tanzania ibadilike Nimekuta hii post Facebook Khalid Ponera Watanzania tunatamani tuwe na nchi yenye ustaarabu na sheria. Jiji la Dar ni wakati sasa lijiandae liweze kushindana na majiji mengine duniani kwa usafi, mpangilio, kufuata sheria na ustaarabu.... www.facebook.com
Kumbe sio peke yangu anayetamani Tanzania ibadilike Nimekuta hii post Facebook Khalid Ponera Watanzania tunatamani tuwe na nchi yenye ustaarabu na sheria. Jiji la Dar ni wakati sasa lijiandae liweze kushindana na majiji mengine duniani kwa usafi, mpangilio, kufuata sheria na ustaarabu.... www.facebook.com
M Monomer JF-Expert Member Joined Nov 23, 2023 Posts 720 Reaction score 1,410 Apr 1, 2026 #44 Ili haya mawazo yafanyiwe kazi basi inatakiwa hiyo agenda ichukuliwe na chadema 2030 waipe promo ya kutosha uone kama ccm hawatalifanyia kazi
Ili haya mawazo yafanyiwe kazi basi inatakiwa hiyo agenda ichukuliwe na chadema 2030 waipe promo ya kutosha uone kama ccm hawatalifanyia kazi