Tungejipanga kwenye Majanga kama tulivyowekeza Polisi bila shaka tusingetumia mikono kuondoa tope Hanang

Yaani hajui kuwa vipo vifaa vya uokoaji sehemu ya tope zito namna hiyo na wapo watu wanasomea kuokoa majanga ya Land slide,Moto mkubwa na muda mwingine wanatumia Wanyama kama Mbwa kugundua mwili wa binadamu..
Weka hizo picha za hivyo vifaa vya uokoaji vikiwa kazini....nakuewekea hii hapa kwanza
 
CHADEMA wapuuzi sana. Endeleeni kuwasengenya Wanajeshi wetu Tanzania, ipo siku mtahitaji msaada wa kutaka kuokolewa.
 
Weka hizo picha za hivyo vifaa vya uokoaji vikiwa kazini....nakuewekea hii hapa kwanza
Mkuu huyo hapo ana vifaa unadhani juu ya Helmet ni nini au hicho kibegi kaweka nguo tunapozungumzia vifaa ni kama hivyo yaani anakua na vitu ambavyo vinamsaidia kwa urahisi hapo unashindwa kuelewa nini? Hiyo picha ya Wajapani utafananisha na uokoaji wetu daah kazi ipo...
 
Weka hizo picha za hivyo vifaa vya uokoaji vikiwa kazini....nakuewekea hii hapa kwanza
Mkuu huyo hapo yupo full na vifaa vya uokoaji ila lazima uende shule utaelewa namaanisha nini unadhani Mjapani kabeba begi la nguo na juu ya Helmet ni nini hicho tunapozungumzia hivyo ni kwamba Serikali itenge fedha ili majanga yanapotokea isiwe kama hivi tunavyofanya sasa hivi..unatuma picha ya Mjapani yupo full gear harafu ujui kitu kumsoma huyo Mjapani kwa kila kitu alichonacho hapo ni swala la shule Mkuu kama shule hauna kama mimi hautaona kitu..
 
Anatumia mikono au hivyo vifaa alivyovaa?


....Sio mjepu huyo.
 
Mkuu huyo hapo ana vifaa unadhani juu ya Helmet ni nini au hicho kibegi kaweka nguo
Ha Ha
tunapozungumzia vifaa ni kama hivyo yaani anakua na vitu ambavyo vinamsaidia kwa urahisi hapo unashindwa kuelewa nini?
Aliyekudanganya sielewei amevaa nini ni nani? Picha niilete mimi halafu useme sielewi.
Hiyo picha ya Wajapani utafananisha na uokoaji wetu daah kazi ipo...
Kwanza kabisa huyo kwenye picha siyo ya Mjapani.


Itoshe, umeshindwa kuleta picha za kifaa au vifaa vya kuokolea watu kutoka matopeni. Haya niambie, hivyo vifaa ndivyo vinavyokoa watu?

Nyie CHADOMO ndio mnaotaka kufananisha mbinu za uokoaji wetu na wa nje, au ulikuwa unafanya ulinganishi na wapi?

Rudi darasani
 
Wanasiasa wanaonekana wao na matumbo yao walivyonona tu
Hakuna kiongozi hata mmoja unayemuona kabeba machela tope limemjaa mwilini nk
Yaani wako huko wame relax tu

Ova
Nimewaona yaani kuanzia aliyewapeleka PM wote wanakanyaga tope kama hawajawahi kukanyaga chini maisha yao
Yaani utafikiri wanacheza maigizo
Hata aibu hawana aisee
 
Kutoa msaada au kujiweka tayari kwa majanga lipi ni jambo bora!!??

CHADEMA wana sera ya afya/matibabu kwa wote, CCM wamekurupuka wakaichukua bila ya kuifanyia tafiti.

Unajua nini kimeiua CHF,ICHF na NHIF!!??
Ndicho kinakwenda kutokea.
 
Hakuna respond nzuri na bora ya majanga kama kujipanga kwa kuwa na sera na mipango thabiti ya kukabiliana na maafa/majanga ikiwemo vifaa, watendakazi wenye elimu ya uokozi na utayari wa serikali.
 
Chadema ni mbumbumbu sanaaa.
Unadhani jeshi halina vifaa maalum?
Nimeona mahali helkopita ya jeshi la wananchi ikikejeliwa huko Manyara.
Sijui chadema mnataka nini kwa serikali.
Kama ndivyo jigeuzeni basi muwe na "matundu" mnunulike
 
"BLACK PEOPLE are not complete human beings because they DON'T HAVE A GOOD BRAIN TO GOVERN THE SOCIETY as white people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
nikikuwekea hapa sera ya Chadema kuhusu majanga , utahama ccm mara moja na utajiona ulikuwa fala sana kuwa kwenye hicho chama
Hatuhitaji sera mana ht ccm wana sera zao nzuri za majanga lkn hakuna kinachotendeka, tunahitaji utendaji kazi kutoka kwenu chama pinzani ili kuonyesha bidii yenu kwa wananchi. Sera/kelele hazisaidii wakati wa kuumia
 
Kstibu Mwenezi bado hajaenda Hanang?
 
Hatuhitaji sera mana ht ccm wana sera zao nzuri za majanga lkn hakuna kinachotendeka, tunahitaji utendaji kazi kutoka kwenu chama pinzani ili kuonyesha bidii yenu kwa wananchi. Sera/kelele hazisaidii wakati wa kuumia
Wao wanawekeza kwenye mapangashaa
 
Hakuna respond nzuri na bora ya majanga kama kujipanga kwa kuwa na sera na mipango thabiti ya kukabiliana na maafa/majanga ikiwemo vifaa, watendakazi wenye elimu ya uokozi na utayari wa serikali.
Sahihi kikubwa ambacho huwa naona ni kero ni kushindwa kutenganisha siasa na taaluma.
 

..na wewe nionyeshe kifaa chochote chenye ubora unaolingana na maderaya, mawashawasha, na ma-V8, mliyonayo ambacho kimetumika ktk uokoaji.
 

Wewe unasema sisi siyo masikini!! Are you serious?

Mimi naamini sisi ni maskini kupindukia. Ila umaskini wenu siyo mali bali ni umaskini wa akili, maadili na uongozi katika taasisi mbalimbali, ambao ni umaskini mbaya kuliko mwingine wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…