Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Uko sahihi....majanga ya asili yapo ya aina nyingi. Hata nchi zilizoendelea kuliko sisi zinapokumbwa na majanga hupelekewa misaada ya uokoaji na nchi zingine. Mfano japan 2012 ilipokumbwa na tsunami ilipelekewa misaada na uokoaji....serikali yetu inajitahidi japo kuna maeneo hawajawekeza lakini inajitahidi sana kupambana na majanga.Hoja zenye akili kama hizi kwa kiwango chako unapaswa kuwa msomaji tuu!
Huu ni ushauri ili usiaibike na kudharaulika, kejeli na kashfa iko wapi hapo katika kuwapongeza waokoaji waliofanya kazi katika mazingira magumu kwa mikono huku viongozi zaidi ya 100 wako huko na magari ya milioni mia tano tano?
Hivi kama kila mkoa achia mbali wilaya, vifaa vya uokoaji vingenunuliwa kwa mapesa hayo yanayo nunua magari ya kifahari yasiyo na sababu za msingi vilio hivi vingekuwapo?
Watu wakisema akili za kawaida ukiziunganisha na uccm inakua disaster muwaelewe.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kilio kikubwa hapa kwetu ni kuboresha na kujengana....nawapa wazo sasa upinzani.
Serikali imeshindwa kuendana na dunia ya sasa kwa mujibu wenu... Andaeni vijana wa uokoaji kwenye majanga kama haya mjitaftie kura. Kama mnaona ni rahisi.
Kukumbushana tu "Viongozi wa chadema wanatembelea 'chopa' achilia mbali hizo gari za 500m mnazoziimba kila siku".