Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie jamaa yenu ali beep kidogo akataka kula mzinga huyo ndio tumpigie kumpa urais ?labda urais wa JF na TweeterAkijaza jpm watu mafuriko. Akijaza Lissu video hazipigi Kura tulieni hivyo hivyo hadi betri ichomoke
Na bado ndio kwanza wiki ya tatuJiwe amenywea balaa , kawa mpole Kama maji ya mtungi , kaacha kufokafoka na kutoa povu mziki ameshauona , poja na kutegemea tumeccm bado hana amani anajua lolote linaweza kutokea .
2018 febuari uchaguzi wa marudio mawakala walinyimwa fomu za viapo hivyo kutoruhusiwa kusimamia.Polis walionekana live wakibaba mabox ya kura kuingia na kutoka vituoni. Kamera zilikuwa wazi na mawakala walikuwepo. Upo hapo.Kwenye Kituo cha kupigia kura, kwenye kituo cha kuhesabia kura na kwenye kituo cha kujumlishia kura kutakuwa na Mawakala ambao huteuliwa na vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi huo.
Sasa unataka Uhuru gani?
Ihihihihihihiiiiii mnajitahidi sana kumtetea mtu asiyehitajikaTundu lisu bado sana kupambana na magufuri, Sema ni mchafuzi tu wa muda,
Kila anapopita pia kuna makundi yanarudi kufuta nyayo zake,
Adi amejikuta amesema vitambulisho vya machinga sio lazima nadhani baada ya hapo alukana kwa kiluga chake sana sema watu hawakusikia tuJiwe amenywea balaa , kawa mpole Kama maji ya mtungi , kaacha kufokafoka na kutoa povu mziki ameshauona , poja na kutegemea tumeccm bado hana amani anajua lolote linaweza kutokea .
Kauli ya Lissu inamantiki, sasa hivi hatumuachii Mungu, mkituibia kura tunadili na nyie moja kwa MojaBinafsi nadhani Mbeleko iko upande wa pili kwamaana ukiafuatilia mwenendo wa Kampeni tu hivi sasa utaona ni namna gani upinzani hasa mgombea wa Chadema anabwebwa vilivyo. Maana Kauli za vitiosho anazozitoa majukwaani kila siku na kuhamasisha watu waingie barabarani kama anaemtaka yeye asipotangazwa ni ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi lakini tume iko kimya hivyo tunaweza kusema nao wanabebwa.
Lakini nionavyo mimi Tume imeamua kukaa kimya kutenda haki na kuacha uchaguzi ufanyike, Angalia hata Polisi imeamua kutenda haki hivi sasa ili uchaguzi ufanyike na mambo mengine yaendelee kwa amani lasivyo kamata kamata ingekua ya kutosha.
Hivyo tutulie ndugu zangu maana hiyo hiyo tume mnayo ituhumu itaendesha uchaguzi na kuwatangaza washindi wa pande zote mbili.
Mkuu kwenye haya makundi katika jamii ni kundi lipi linaweza piga kura kwa jiwe?Kwani uliambiwa video ndio zinapiga Kura subiri uone endelea kujifariji kijinga JPM anatoboa tena kwa kishindo Sasa kwa taarifa yako
Hii kauli ya "....tungekuwa na tume huru..." Inakatisha wapiga kura tamaa. This time tume italazimika kuwa huru yenyewe.Unajifariji na picha za Lowassa utadhani ilikuwa ni mkutano wa CCM.
Subiri tarehe 28/10/2020 ndiyo utajua Chama Dume CCM ilivyomakini.Nafutilia siasa mda mrefu Lissu kajipanda ndani ya nchi na kimataifa na sheria ndio mwalimu wao na hata ongea yake aongea kisheria na kukinukisha ni jambo dogo sana kwa ccm hawatoboi na akusanya ushahidi kuanzia kampeni litokea la kutokea ajue pakuchika