Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

Kwenye Kituo cha kupigia kura, kwenye kituo cha kuhesabia kura na kwenye kituo cha kujumlishia kura kutakuwa na Mawakala ambao huteuliwa na vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi huo.
Sasa unataka Uhuru gani?
 
Akijaza jpm watu mafuriko. Akijaza Lissu video hazipigi Kura tulieni hivyo hivyo hadi betri ichomoke
Nyie jamaa yenu ali beep kidogo akataka kula mzinga huyo ndio tumpigie kumpa urais ?labda urais wa JF na Tweeter
 
Jiwe amenywea balaa , kawa mpole Kama maji ya mtungi , kaacha kufokafoka na kutoa povu mziki ameshauona , poja na kutegemea tumeccm bado hana amani anajua lolote linaweza kutokea .
 
Maana tuianzie ngazi ya Udiwani hadi Uras mpinzani akitangazwa tukubaliane Tupo haipo Huru.
 
Jiwe amenywea balaa , kawa mpole Kama maji ya mtungi , kaacha kufokafoka na kutoa povu mziki ameshauona , poja na kutegemea tumeccm bado hana amani anajua lolote linaweza kutokea .
Na bado ndio kwanza wiki ya tatu
 
Kwenye Kituo cha kupigia kura, kwenye kituo cha kuhesabia kura na kwenye kituo cha kujumlishia kura kutakuwa na Mawakala ambao huteuliwa na vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi huo.
Sasa unataka Uhuru gani?
2018 febuari uchaguzi wa marudio mawakala walinyimwa fomu za viapo hivyo kutoruhusiwa kusimamia.Polis walionekana live wakibaba mabox ya kura kuingia na kutoka vituoni. Kamera zilikuwa wazi na mawakala walikuwepo. Upo hapo.

Ila mwaka huu ukhanithi utaondoka na mtu.
 
Tundu lisu bado sana kupambana na magufuri, Sema ni mchafuzi tu wa muda,

Kila anapopita pia kuna makundi yanarudi kufuta nyayo zake,
Ihihihihihihiiiiii mnajitahidi sana kumtetea mtu asiyehitajika
 
Jiwe amenywea balaa , kawa mpole Kama maji ya mtungi , kaacha kufokafoka na kutoa povu mziki ameshauona , poja na kutegemea tumeccm bado hana amani anajua lolote linaweza kutokea .
Adi amejikuta amesema vitambulisho vya machinga sio lazima nadhani baada ya hapo alukana kwa kiluga chake sana sema watu hawakusikia tu
 
Binafsi nadhani Mbeleko iko upande wa pili kwamaana ukiafuatilia mwenendo wa Kampeni tu hivi sasa utaona ni namna gani upinzani hasa mgombea wa Chadema anabwebwa vilivyo. Maana Kauli za vitiosho anazozitoa majukwaani kila siku na kuhamasisha watu waingie barabarani kama anaemtaka yeye asipotangazwa ni ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi lakini tume iko kimya hivyo tunaweza kusema nao wanabebwa.

Lakini nionavyo mimi Tume imeamua kukaa kimya kutenda haki na kuacha uchaguzi ufanyike, Angalia hata Polisi imeamua kutenda haki hivi sasa ili uchaguzi ufanyike na mambo mengine yaendelee kwa amani lasivyo kamata kamata ingekua ya kutosha.

Hivyo tutulie ndugu zangu maana hiyo hiyo tume mnayo ituhumu itaendesha uchaguzi na kuwatangaza washindi wa pande zote mbili.
Kauli ya Lissu inamantiki, sasa hivi hatumuachii Mungu, mkituibia kura tunadili na nyie moja kwa Moja
 
Kwani uliambiwa video ndio zinapiga Kura subiri uone endelea kujifariji kijinga JPM anatoboa tena kwa kishindo Sasa kwa taarifa yako
Mkuu kwenye haya makundi katika jamii ni kundi lipi linaweza piga kura kwa jiwe?
1. Wanafunzi)Elimu ya juu)
2. Wafanyakazi(Serikali na Sekta binafsi)
3. Wakulima (Korosho,Mahindi ....etc)
4. Wafanyabiashara
5. Machinga(20,000 za vitabulisho)

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni upotoshaji wa Hali ya juu unataka Tume ya namna gani kwa sababu hii unayopigia kelele ndio imewateua wagombea wote ambao Sasa wanaendelea na kampeni zao na wote wanapiga kampeni under a very fair ground ukiona kampeni zinaendelea vizuri ujue Kuna wenzio wa Tume wamekaa na kuweka mambo vizuri kwa kifupi sijajua unataka Tume ya namna gani kwa sasabu hii iliyopo inafanya kazi vizuri sisi wananchi tunaipongeza Tume yetu kwa kazi nzuri
 
Video gani wakati Chadema mnatuchanganyia picha za 2015? Kama nmeishiwa hoja si lazima kupiga kampeni huo ndio mwanzo wa kuyumbisha watu lakini bahati mbaya Sana mbinu zenu zimeshafeli
 
Akili za watu wengine buana. Uhuru wa Tume huwa unahitajika pale mnapoona maji ya shingo tu? Lisu alikua mbunge je ni Tume ipi ilimtangaza ushindi wake? Hebu tupeni dondoo za hiyo Tume huru mnayoifikiria ni ipi?
 
Uhuru wa Tume upo wazi sana ila wanalalamika walio wengi hata kura hawapigi wao mitandao tu
 
Nafutilia siasa mda mrefu Lissu kajipanda ndani ya nchi na kimataifa na sheria ndio mwalimu wao na hata ongea yake aongea kisheria na kukinukisha ni jambo dogo sana kwa ccm hawatoboi na akusanya ushahidi kuanzia kampeni litokea la kutokea ajue pakuchika
 
Wewe ni mbumbumbu kweli hata wakati wa Lowassa ulikuwa unahangaika hivi hivi!!
 
Nafutilia siasa mda mrefu Lissu kajipanda ndani ya nchi na kimataifa na sheria ndio mwalimu wao na hata ongea yake aongea kisheria na kukinukisha ni jambo dogo sana kwa ccm hawatoboi na akusanya ushahidi kuanzia kampeni litokea la kutokea ajue pakuchika
Subiri tarehe 28/10/2020 ndiyo utajua Chama Dume CCM ilivyomakini.
 
Back
Top Bottom