Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tanzania tuchape kazi kwa bidii sana, Kama Rais tunaye na rekodi zake hazishikiki,
 
Kweli unaongea haya toka Moyoni?
Kwa bei hizi za mafuta na bidhaa zingine kweli ninaona shida sana kukubali mama,kinacho udhi zaidi ni nyie chawa mnapotuletea ujinga kwenye mambo ya maana,magu alipokufa tu mafuta yakapanda sh 600 Leo ya fikia ongezeko la sh 800,ndiyo maana akina makamba wanaingia mikataba wapate pesa ya kufanya Mambo yao,bwawa litasubiri.
 
Bwawa mwezi wa sita moto unawaka
 
Tuendelee kuchapa kazi Mama Samia anafanya kile kinachostahili,
 
Bila Samia Ndungai angebaki kuwa spika wa bunge la JMT 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…