Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Kumbe unalaumu bure tu, hata wewe hujui cha kufanya.

Basi 2025 tutamuachia GAIDI ama yule wa " nimekosa Mimi nimekosa mno nisamehe sana."

ili atoe ruzuku kwa bidhaa na huduma zote zitakazokuwa sokoni.

Piiipoooooooooooooooooowz

Hivi umeelewa hata nilichokiandika kweli? Nimekwambia mie sijui ndio maana sijajiingiza kwenye hayo mambo, na hilo sio kosa. Shida ni pale mtu anaetakiwa sehem na kujua cha kufanya lakini hafanyi anachotakiwa au hajui.
Hao wote umewataja kama nso hawajui hawatakiwi kukabidhiwa hiyo nafasi.
 
Hakuna kama Samia lazima tuelewane
 
Petrol juu,nondo juu,cement juu,mafuta ya kula juu,sukari juu....
Kwa Hali hiyo hata figure za mapato ya serikali lazima ziwe juu!
Na mapato ya namna hii hudumu Kwa muda mfupi,subiri kama watakutangazia mapato ya January!
Siyo hivyo tu huku kwetu kilo ya nyama sasa ni shs 9000.00 elfu tisa kipindi cha miezi mitatu imepanda kwa shilingi elfu mbili. Umeme unaktwa toka asubuhi unarudi saa saba usiku na maji ni mgao wakati mwingine wiki nzima hakuna maji na sikukuu zote za mwisho wa mwaka hatujakuwa na maji na tupo Geneva ya Afrika. Swali tungekuwa wapi jibu lake ni kwamba tungekuwa hapa hapa tunabana hayo madarasa yako ya mikopo sasa nani angeshindwa kukopa? Tunataka kujua makusanyo ya fedha yanakwenda wapi? Alafu haya matumizi holela hakuna wa kuzungumzia sherehe za uhuru zimeliwa ngapi? Ile video ya royal tour ngapi zimelipwa kwa yule waziri mkuu mstaafu wa ulaya lile swali la Ndugai kwa Kassimu mpaka leo halijajibiwa fedha kiasi gani zinatumika kufanya mikutano Dar badala ya Dodoma makao makuu. Endeleeni kusifia ipo siku mtazinduka too late nchi imeshauzwa kama Uganda na Kenya
 
mfumuko ni wa dunia nzima
 
Basi tutafutie huyo mtu anaeweza kulishinda hilo tatizo la inflation ili Watanzania wasiendee kuumia na mfumuko wa Bei ambao waliopo wameshindwa kuudhibiti.
 
Basi tutafutie huyo mtu anaeweza kulishinda hilo tatizo la inflation ili Watanzania wasiendee kuumia na mfumuko wa Bei ambao waliopo wameshindwa kuudhibiti.
You are right sir.
 
Kweli Samia ni Chaguo la Mungu,

Nyie chawa mmeishaanza UCHAWI wenu Kwani hata Magufuli mlianza hivyo hivyo kuwa ni chaguo la MUNGU!! Hawa ni binadam kama wengine waliopata idhini ya wananchi kuwaongoza basi!! Acheni uchawi wenu kutaka kuwapa binadam wenzenu uMUNGU!
 
Machawa buana

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…