Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Nivile hamjui njia za MunguYou nailed it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nivile hamjui njia za MunguYou nailed it.
Kumbe unalaumu bure tu, hata wewe hujui cha kufanya.
Basi 2025 tutamuachia GAIDI ama yule wa " nimekosa Mimi nimekosa mno nisamehe sana."
ili atoe ruzuku kwa bidhaa na huduma zote zitakazokuwa sokoni.
Piiipoooooooooooooooooowz
Hakuna kama Samia lazima tuelewaneHivi umeelewa hata nilichokiandika kweli? Nimekwambia mie sijui ndio maana sijajiingiza kwenye hayo mambo, na hilo sio kosa. Shida ni pale mtu anaetakiwa sehem na kujua cha kufanya lakini hafanyi anachotakiwa au hajui.
Hao wote umewataja kama nso hawajui hawatakiwi kukabidhiwa hiyo nafasi.
Muelewane na nani? Unajua tozo zinakusanywa kiasi gani kwa mwezi? Na unajua matumizi yake?Hakuna kama Samia lazima tuelewane
Pole mkuu Mama ni kiboko ya njia 2030Daaaah
Kweli Samia ni Chaguo la Mungu,
Machozi yamenilenga hii mada aise, Mungu amlinde huyu Mama
Mkuu hii si sawa kabisaIle Mbwa ilikuwa zaidi ya shetani
Ni Ujinga wenu tuUkatili anaomfanyia Mbowe huuoni?
Ujinga upi Huo?Ni Ujinga wenu tu
KaulizeUjinga upi Huo?
Kapuni!!Kaulize
Usiku mwema mkuuKapuni!!
Siyo hivyo tu huku kwetu kilo ya nyama sasa ni shs 9000.00 elfu tisa kipindi cha miezi mitatu imepanda kwa shilingi elfu mbili. Umeme unaktwa toka asubuhi unarudi saa saba usiku na maji ni mgao wakati mwingine wiki nzima hakuna maji na sikukuu zote za mwisho wa mwaka hatujakuwa na maji na tupo Geneva ya Afrika. Swali tungekuwa wapi jibu lake ni kwamba tungekuwa hapa hapa tunabana hayo madarasa yako ya mikopo sasa nani angeshindwa kukopa? Tunataka kujua makusanyo ya fedha yanakwenda wapi? Alafu haya matumizi holela hakuna wa kuzungumzia sherehe za uhuru zimeliwa ngapi? Ile video ya royal tour ngapi zimelipwa kwa yule waziri mkuu mstaafu wa ulaya lile swali la Ndugai kwa Kassimu mpaka leo halijajibiwa fedha kiasi gani zinatumika kufanya mikutano Dar badala ya Dodoma makao makuu. Endeleeni kusifia ipo siku mtazinduka too late nchi imeshauzwa kama Uganda na KenyaPetrol juu,nondo juu,cement juu,mafuta ya kula juu,sukari juu....
Kwa Hali hiyo hata figure za mapato ya serikali lazima ziwe juu!
Na mapato ya namna hii hudumu Kwa muda mfupi,subiri kama watakutangazia mapato ya January!
mfumuko ni wa dunia nzimaSiyo hivyo tu huku kwetu kilo ya nyama sasa ni shs 9000.00 elfu tisa kipindi cha miezi mitatu imepanda kwa shilingi elfu mbili. Umeme unaktwa toka asubuhi unarudi saa saba usiku na maji ni mgao wakati mwingine wiki nzima hakuna maji na sikukuu zote za mwisho wa mwaka hatujakuwa na maji na tupo Geneva ya Afrika. Swali tungekuwa wapi jibu lake ni kwamba tungekuwa hapa hapa tunabana hayo madarasa yako ya mikopo sasa nani angeshindwa kukopa? Tunataka kujua makusanyo ya fedha yanakwenda wapi? Alafu haya matumizi holela hakuna wa kuzungumzia sherehe za uhuru zimeliwa ngapi? Ile video ya royal tour ngapi zimelipwa kwa yule waziri mkuu mstaafu wa ulaya lile swali la Ndugai kwa Kassimu mpaka leo halijajibiwa fedha kiasi gani zinatumika kufanya mikutano Dar badala ya Dodoma makao makuu. Endeleeni kusifia ipo siku mtazinduka too late nchi imeshauzwa kama Uganda na Kenya
Basi tutafutie huyo mtu anaeweza kulishinda hilo tatizo la inflation ili Watanzania wasiendee kuumia na mfumuko wa Bei ambao waliopo wameshindwa kuudhibiti.Hivi umeelewa hata nilichokiandika kweli? Nimekwambia mie sijui ndio maana sijajiingiza kwenye hayo mambo, na hilo sio kosa. Shida ni pale mtu anaetakiwa sehem na kujua cha kufanya lakini hafanyi anachotakiwa au hajui.
Hao wote umewataja kama nso hawajui hawatakiwi kukabidhiwa hiyo nafasi.
You are right sir.Basi tutafutie huyo mtu anaeweza kulishinda hilo tatizo la inflation ili Watanzania wasiendee kuumia na mfumuko wa Bei ambao waliopo wameshindwa kuudhibiti.
Kweli Samia ni Chaguo la Mungu,
Machawa buanaToka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu:
1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo,Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai mpaka leo kama sio huyu Rais Samia unayempinga na kumbeza kila leo?
2. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu tungefanyaje kumaliza upungufu wa madarasa wa miaka mingi yanayofikia elfu 15 sawa na wastani wa madarasa matatu katika kila Shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima na mengine zaidi ya elfu 3 kwa shule za msingi Shikizi najua mnajua kabla tulisema Tanzania hatuna maambukizi ya Covid 19 hivyo tusingeweza kupata mkopo ule usio na riba,
3. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nilini tungekusanya kodi inayofikia Shilingi trilioni 2.51 kwa mwezi mmoja tena bila kunyanyasa wala kukimbiza walipakodi wetu,Kwani simnakumbuka Mzee Jakaya yeye alikusanya wastani wa trilioni 10 kwa mwaka mzima pesa tunayoweza kuikusanya kwa miezi minne tu sasa!!
4. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeweza kuongeza mzunguko wa fedha kwenye nchi ( M3 ) kwa mara mbili zaidi kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 12.7 tena kwa miezi tisa tu,
5. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeufikisha Uchumi wetu kwenye ukuaji wa Pato la Taifa wa asilimia 5.4 kutoka mdororo wa asilimia 2.1 wakati wa mtangulizi wake,
6. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu ni lini tungeifikia sera yetu ya 50/50 kwenye nyadhifa mbalimbali za Kivyama, kiserikali na taasisi nyingine mbalimbali kwani kupitia yeye Tanzania na dunia vimejifunza kuwa ni kweli kuwa " A Woman Can Lead anywhere at any Post "
7. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeinusuru miradi hii mikubwa ya kimkakati ya SGR na SG iliyokuwa ikijengwa kwa mikopo ya masharti ya kibiashara,Je umewahi kuwaza nini ingekuwa hatma ya Tanzania na Watoto wa Watanzani kwa madeni haya hatari ya kibiashara?
8. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaachilia huru Mashekhe wetu wa uamsho waliosota gerezani kwa miaka zaidi ya 10 bila kosa au Nani angewaachia Wana-CHADEMA waliokuwa wametapakaa karibu kila gereza hapa Tanzania?
9. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeifungua Tanzania kimataifa baada ya kuchafuliwa vibaya na kwa muda mrefu na akina Tundu Lissu na wenzake kiasi cha kunyimwa misaada na mikopo ya masharti|riba nafuu kulikotulazimu kama Taifa kuanza kuiingiza nchi yetu kwenye mikopo ya kibiashara wakati nchi haifanyi biashara ila inatoa huduma tu hili lilikuwa ni bomu kwa nchi,
10. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaongezea mishahara na madaraja makubwa makubwa watumishi wetu wa Serikali waliosota miaka mitano mfululizo bila kuona senti ya Serikali?
11. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaondolea Wasomi wetu VRF ya asilimia 6 toka makato ya asilimia 15 toka HESLB kwani leo wanakatwa asilimia 9 tu tena mpaka upate kazi ndio uanze kukatwa,
12. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angekivusha Chama Changu cha Mapinduzi Salama mwaka wa Uchaguzi 2024|25 ikiwa ni baada ya Rais Samia kurudisha Ushawishi wa Chama kwa jamii|Umma kutokana na matendo mema na mazuri ya Chama Chake na Serikali yake,
#Kama Sio katazo la Katiba kwa kudra za mwenyezi Mungu huyu Mama alitakiwa apewe miaka 20 ila katiba iheshimiwe twende na Mama mpaka 2030 itatufaa sana,Wewe unasemaje?