Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumaanisha nini hapa? Kwamba hili nalo tuanze kubishana? Unamaanisha kuwa hujui udhaifu wa bunge ulianza lini na haya ya sasa ni matokeo tu? Enzi hizo CAG anakosoa udhaifu wa bunge mnamuita kamati ya maadili! Tunaposema kuharibu sana bunge unaelewa maana yake kwa upana?Ni kweli kabisa Magufuli ndio kaharibu sana Bunge imefikia hatua Spika Ndugai akajiuzulu kipindi akiwa madarakani.
Hakika Mama anastahili pongezi kama kweli tutaacha sababu zetu binafsi,Amejitahidi.
Ana mapungufu yake.
Lakini ukinikumbusha yule Israel mla vichwa, Sina hamu!
Mleta mada hujakosea
Ila JPM ameshambuliwa sana sijawahi kuona marehemu anachukiwa vileUnaishi Dunia ipi?JPM alipoingia madarakani,Kikwete alishambuliwa sana!Mpaka watu wakasema utafikiri nchi haikuwa na Rais!
JPM hata yeye mwenyewe amemshambulia mtangukizi wake mara nyingi tu!
JPM ametokea,na yeye anashambuliwa japo ni marehemu,je angekuwa hai?
Nakuhakikishia,Samia akiondoka na yeye atageukwa na Hawa Hawa wanaomfagilia kwa Sasa!
Twende kwa Mungu nikakuonyeshe alipoţoa kibali.[emoji23]
2. Njia za Mungu hazichunguziki , hasa ukiwa na moyo mgumu katika kuamini.
Kwa njia ya imaniKama hazichunguziki wewe umechungazaje
Kwenye bei ungefanya muujiza gani bei zisipande?Ningekua hapahapa Tanzania nilipo sasa hivi ila haya yafuatayo yasingekuwepo.
Tusingekua tunatoa tozo.
Wanaomiliki nyumba wangeendelea kulipia kodi za majengo bila kuathiri bei ya umeme.
Tusingeona jinsi mhimili mmoja ulivyo dhaifu na wanaoutengeneza huo muhimili kuwa wanafiki na wanaojali matumbo yao zaidi kuliko kazi ya kuwakilisha wananchi.
Bei za vitu zisingeruka namna hii kama hali ilivyo sasa.
Wana chuki kwa ajili ya hayo hapo lakini Takwimu za mama zinawaumbua.Wanambie hao Watanganyika kosa la mama ni Uzanzibar Uislamu na Ujanajike wake
Ila udhaifu wa muhimili(BUNGE) haukuanza Leo wala Jana.Sina cha kuongeza
R.I.P JPM
Yote matatuWanambie hao Watanganyika kosa la mama ni Uzanzibar Uislamu na Ujanajike wake
Kwenye bei ungefanya muujiza gani bei zisipande?
Waachie kivipi? Kwani lini mfumko ulikua chinidio maana nipo hapa JF na sio ikulu, kama hawawezi awaachie wengine wanaojua nini cha kufanya.
Waachie kivipi? Kwani lini mfumko ulikua chini
Mungu ni wetu sote,Endelea kumwombea na kumsemea mkuu wangu mpaka kila mtu ajue makusudi ya Mungu kwa Rais Samia,
Acha kumchonganisha ni Msigwa mkuu 😀😀Uongozi unakufaa mkuu, tena kitengo cha msemaji mkuu wa nchi
Kama kila kitu unanunuliwa na shemeji yako mpaka boxer utajuwaje kama vitu vimepanda bei!!??Hawa wanaosema vitu bei juu,wanakutana na wajanja,wanawagonga bei.Mbona bei ya vitu iko kawaida,haijapanda.