Tungoje kuona Chongolo na Nnauye watakavyofanya kazi na Makonda

Tungoje kuona Chongolo na Nnauye watakavyofanya kazi na Makonda

Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake.

Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu bila sababu kujulikana. Time will tell.
Kiukweli JF kuna watu mna jicho!, bandiko hili ni la October 22, ndani ya mwezi mmoja tuu, tayari!, one down!, one to go!.
Hongera sana kwa maoni haya, wewe ni strategic thinker.
P
 
Back
Top Bottom