kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Nikikukamata nitakufanyia mchezo wa kimjini mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King sawa? Ningekuwa sina maana nisingekuwa na Followers 167 hapa JamiiForums na pia Kusomwa hata na Wewe damn Fool sawa? Umewaambia Watu wasiwe Wanasoma / Kuchangia Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums na sasa nakuhakikishia tena kwa Kujiamini kabisa kuwa hakuna Mada ambayo nitaianzisha hapa JamiiForums hata kama ni ya Kipuuzi, Kitoto au ya Kawaida na isisomwe kwa wingi na isikimbiliwe Kuchangiwa sawa?Huyu jamaa hana haibu hata kidogo, yani hata chizi anaafadhali.
Ngoja kesho uone atacho post, yani kama hakijatokea kitu vile.
Ifikie hatua huyu azarauliwe, ikibidi post zake zisichangiwe kabisa, awe anajijibu mwenyewe.
Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa ( na wanaojua Fitna za Soka la Bongo ) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?
Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua leo ni ama mnawafunga au wakibahatika mnatoka nao Sare, ila Wao hawashindi kabisa na Kufungwa nanyi leo ni 75% baada ya Kujiridhisha kwa mlichokifanya cha Nje ya Uwanja huku mkilishana Yamini kwa Watakaowasaliti ( hasa hasa Watu wenu Watatu ) ambao GENTAMYCINE nilishawahi Kuwataja hapa JamiiForums katika Uzi wangu wa Wiki Nne ( 4 ) zilizopita.
Kawaida tu na ndiyo maana ukaitwa ni Utabiri na nasikitika kuona Wapumbavu Wengi mliousoma huu Uzi na sasa mnauchangia kwa Kujifanya mnanishushua na Kunishangaa.75% Yanga SC inafungwa leo.
utabiri umekamilika Yanga washafungwa 3 kwa mbili.
Kawaida tu.Pole
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama alivyofanyiwa Feitoto na Kiongozi Msomali?Nikikukamata nitakufanyia mchezo wa kimjini mjini
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!Nilisema nitakusaka baada ya mechi Aya njoo hapa utueleze maana bado ujasema na utasemaaa!!!
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!Huyu jamaa ni kama ana shida kubwa sana ya Akili na matibabu yake inabidi akafanyiwe India huko.
𝐊𝐰𝐚 𝐲𝐮𝐥𝐞 𝐫𝐞𝐟𝐚 𝐀𝐫𝐚𝐣𝐢𝐠𝐚Azam watatembeza bahasha kama kawaida
Naona baada ya ile ID yako kupigwa BAN sasa umeamua Kuifufua hii ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na sitokujua ni nani.Huyu jamaa tumchangie akatibiwe,tatizo lake ni kubwa mno
Wachague Mabwana zako Wote unaowaamini na kuwakubali hapa JamiiForums kisha omba nishindanishwe nao nakuhakikishia nitawashinda mapema na hutoamini.Hahahahaha,sasa huwa najiuliza walio mpigia Kura wakoje kwa vichwa vyao
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!Huyu jamaa hana haibu hata kidogo, yani hata chizi anaafadhali.
Ngoja kesho uone atacho post, yani kama hakijatokea kitu vile.
Ifikie hatua huyu azarauliwe, ikibidi post zake zisichangiwe kabisa, awe anajijibu mwenyewe.
Namuonaga chizi tu ,mwezi mchangaDawa ya mpuuzi ni kumpuuza.
Namuonaga chizi tu ,mwezi mchanga
Zaidi anatukanaaHuyu sio Bure anahitaji matibabu.
Hata ukimuita TAHIRA yeye anasherekea...
Halafu watu wakikuita Popoma kutokana na hiki unachokifanya humu jukwaani, eti unalalamika wanakuchukia!!!Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa ( na wanaojua Fitna za Soka la Bongo ) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?
Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua leo ni ama mnawafunga au wakibahatika mnatoka nao Sare, ila Wao hawashindi kabisa na Kufungwa nanyi leo ni 75% baada ya Kujiridhisha kwa mlichokifanya cha Nje ya Uwanja huku mkilishana Yamini kwa Watakaowasaliti ( hasa hasa Watu wenu Watatu ) ambao GENTAMYCINE nilishawahi Kuwataja hapa JamiiForums katika Uzi wangu wa Wiki Nne ( 4 ) zilizopita.
Akishindwa ujinga wake anatukana halafu mods wanamuacha tuZaidi anatukanaa