Tunzeni hii: Mechi ya leo kwa Mkapa Simba SC inaenda ama kuongeza 'Gap' kwa alama 6 au 5 kwani kuna watu leo watavurugana na hawatoamini

Huyu jamaa hana haibu hata kidogo, yani hata chizi anaafadhali.

Ngoja kesho uone atacho post, yani kama hakijatokea kitu vile.

Ifikie hatua huyu azarauliwe, ikibidi post zake zisichangiwe kabisa, awe anajijibu mwenyewe.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King sawa? Ningekuwa sina maana nisingekuwa na Followers 167 hapa JamiiForums na pia Kusomwa hata na Wewe damn Fool sawa? Umewaambia Watu wasiwe Wanasoma / Kuchangia Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums na sasa nakuhakikishia tena kwa Kujiamini kabisa kuwa hakuna Mada ambayo nitaianzisha hapa JamiiForums hata kama ni ya Kipuuzi, Kitoto au ya Kawaida na isisomwe kwa wingi na isikimbiliwe Kuchangiwa sawa?

Nilichobarikiwa nacho na Mwenyezi Mungu kamwe Juha ( Moron ) Wewe huna.

Hivi Kutabiri Jambo ni Dhambi? Mbona kuna baadhi ya Mechi au Mambo huwa natabiri na yanatokea vile vile na huwa hujitokezi Kunipongeza?

Nilipouanzisha huu Uzi wangu kuna mahala popote pale nilikuita au niliwaita na Wapumbavu Wenzako mnaojifanya Kunishushua kuwa leo nimepatikana?

Hovyooo.....!!
 
Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa ( na wanaojua Fitna za Soka la Bongo ) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?

Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua leo ni ama mnawafunga au wakibahatika mnatoka nao Sare, ila Wao hawashindi kabisa na Kufungwa nanyi leo ni 75% baada ya Kujiridhisha kwa mlichokifanya cha Nje ya Uwanja huku mkilishana Yamini kwa Watakaowasaliti ( hasa hasa Watu wenu Watatu ) ambao GENTAMYCINE nilishawahi Kuwataja hapa JamiiForums katika Uzi wangu wa Wiki Nne ( 4 ) zilizopita.

Pole
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
75% Yanga SC inafungwa leo.

utabiri umekamilika Yanga washafungwa 3 kwa mbili.
Kawaida tu na ndiyo maana ukaitwa ni Utabiri na nasikitika kuona Wapumbavu Wengi mliousoma huu Uzi na sasa mnauchangia kwa Kujifanya mnanishushua na Kunishangaa.

TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
 
Nilisema nitakusaka baada ya mechi Aya njoo hapa utueleze maana bado ujasema na utasemaaa!!!
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
 
Huyu jamaa ni kama ana shida kubwa sana ya Akili na matibabu yake inabidi akafanyiwe India huko.
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
 
Huyu jamaa tumchangie akatibiwe,tatizo lake ni kubwa mno
Naona baada ya ile ID yako kupigwa BAN sasa umeamua Kuifufua hii ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na sitokujua ni nani.

TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
 
Hahahahaha,sasa huwa najiuliza walio mpigia Kura wakoje kwa vichwa vyao
Wachague Mabwana zako Wote unaowaamini na kuwakubali hapa JamiiForums kisha omba nishindanishwe nao nakuhakikishia nitawashinda mapema na hutoamini.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
 
Huyu jamaa hana haibu hata kidogo, yani hata chizi anaafadhali.

Ngoja kesho uone atacho post, yani kama hakijatokea kitu vile.

Ifikie hatua huyu azarauliwe, ikibidi post zake zisichangiwe kabisa, awe anajijibu mwenyewe.
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
 
Screenshot_20231022-171108.png
 
Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa ( na wanaojua Fitna za Soka la Bongo ) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?

Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua leo ni ama mnawafunga au wakibahatika mnatoka nao Sare, ila Wao hawashindi kabisa na Kufungwa nanyi leo ni 75% baada ya Kujiridhisha kwa mlichokifanya cha Nje ya Uwanja huku mkilishana Yamini kwa Watakaowasaliti ( hasa hasa Watu wenu Watatu ) ambao GENTAMYCINE nilishawahi Kuwataja hapa JamiiForums katika Uzi wangu wa Wiki Nne ( 4 ) zilizopita.
Halafu watu wakikuita Popoma kutokana na hiki unachokifanya humu jukwaani, eti unalalamika wanakuchukia!!!
 
Back
Top Bottom