drakeman
Member
- Apr 20, 2025
- 19
- 21
Nacho wakumbusha ndugu zangu, dunia hii ya leo, tunaishi katika nyakati mbaya sana, tuokoke, tuacheni dhambi, tuombe sana, maisha tunayo yaishi yamezungukwa na kifo, magonjwa ni mengi, uovu ni mwingi, kule ni vita, huku ni ajari, pale ni utekaji, kule tena ni ushirikina na mengine mengi duniani tunapita na kila mtu anapita kuelekea njia yake.
hivyo basi, Yesu kristo ni kweli, nimeshuhudia kazi ya Roho mtakatifu, huwezi kujua mpaka uamue kuingia katika haya maisha ya kutafuta njia ya uzima tofauti ni kubwa sana, inaitaji kujikana sana, maana ukiwa muigizaji ni bora ungebakia utende dhambi, maana hakuna unaye mdanganya zaidi ya kujidanganya mwenyewe.
Karibuni ndugu zangu katika safari ya utakatifu yenye miiba na milima japo mwisho wake ni uzima wa milele!