Kwa maana hyo mkuu ww unaweza kufanya kitu chochote kwasababu ya pesa si ndio hata kama ni cha udhalilishaji.Anamiliki ghorofa
Ana Kazi katika media, ubalozi katika makampuni na pote wanamgombania kwa dau kubwa
Kubwa zaidi huwa anapewa hadi promotions za issues za kiserikali
Hiyo ndio reward ya kuwa kama mwijaku. Ndio standard ya kuwa influencer mwenye mafanikio Tanzania.. Ndio future ya hii generation. Pole mkuu
Nafikiri hujamuelewa vizuri mchangia mada tulia alafu usome tenaKwa maana hyo mkuu ww unaweza kufanya kitu chochote kwasababu ya pesa si ndio hata kama ni cha udhalilishaji.
Pole yake maana huku ni kujivua utu kwa ajili ya shekeli.Anamiliki ghorofa
Ana Kazi katika media, ubalozi katika makampuni na pote wanamgombania kwa dau kubwa
Kubwa zaidi huwa anapewa hadi promotions za issues za kiserikali
Hiyo ndio reward ya kuwa kama mwijaku. Ndio standard ya kuwa influencer mwenye mafanikio Tanzania.. Ndio future ya hii generation. Pole mkuu
Hapa tunamsaidi kutunza utu wake maana inaelekea kasahau kuwa kama binadamu anapaswa kuwa nao.Sioni ni wapi mwijaku anadhalilika
Hayupo uchi
Hayupo peku
Kizuri zaidi kila anachofanya kishaandaliwa,na pesa anapatq.
Binadamu tunasumbuliwa na roho mbaya ,mtu anataka akuone ukitafuta Kwa jasho kama yeye
Endelea kumsaidiaHapa tunamsaidi kutunza utu wake maana inaelekea kasahau kuwa kama binadamu anapaswa kuwa nao.