Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Akili za kiCCM hizi.Unamzidi nini mwijaku,
anamaisha mazuri kuliko wewe, mwijaku usimwone anafanya ujingwa , huo ujinga kalipwa hela nzuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za kiCCM hizi.Unamzidi nini mwijaku,
anamaisha mazuri kuliko wewe, mwijaku usimwone anafanya ujingwa , huo ujinga kalipwa hela nzuri tu
Kaz ni kaz cha muhimu kipato na maendeleo
Ww unaona anajiaibisha ila ukwel ni kwamba kakuzidi kila kitu kwanzia maendeleo adi connection
Unamuonea Wivu kwa Kuwa Mama Samia kamkubali.Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.
Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine.
Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi.
Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji huduma kama zake, badala ya kujidhalilisha namna hii.
Yaani hii clip anayosifia bango la harusi ya mobeto limenisikitisha mno, na kunifanya niombee wanangu wasije kuwa machawa. Inasikitisha mno.
Badilika ndugu mwijaku bado una muda wa kufanya hivyo.
View attachment 3236829
Nilimkuta siku moja ana record kwenye duka la panzia Dodoma ni ni hatari sana. Ibaki kusema kazi yeyote lazima ilinde heshima yako.Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.
Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine.
Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi.
Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji huduma kama zake, badala ya kujidhalilisha namna hii.
Yaani hii clip anayosifia bango la harusi ya mobeto limenisikitisha mno, na kunifanya niombee wanangu wasije kuwa machawa. Inasikitisha mno.
Badilika ndugu mwijaku bado una muda wa kufanya hivyo.
View attachment 3236829
kuhusu haya uliyosema sina la kucommentAnamiliki ghorofa
Ana Kazi katika media, ubalozi katika makampuni na pote wanamgombania kwa dau kubwa
Kubwa zaidi huwa anapewa hadi promotions za issues za kiserikali
Hiyo ndio reward ya kuwa kama mwijaku. Ndio standard ya kuwa influencer mwenye mafanikio Tanzania.. Ndio future ya hii generation. Pole mkuu
Mtu yuko tayari apasuliwe mk-ndMafanikio kwa kujitoa utu wako ?
Kwani maana ya mafanikio ni nini labda ?!
Kuwa na material things pekee ?
Tafuta kujua zaidi aisee.
Heshima na utu ndio mafanikio ya kwanza kwa binadamu mengine yanafuata.
Binafsi siwezi na sitopenda wanangu wawe hivyo ILA jamaa anajipatia pesa kihalali na anaendesha maisha yake hivyo sioni ubaya ni heri yeye kuliko wanaojipatia pesa kwa kutapeli.
Akishapata pesa anawadanganya eti yeye ni Influencer anapewa dili na makampuni🤣🤣🤣🤣🤣Mtu yuko tayari apasuliwe mk-nd
Afanikiwe
Watu wanataka mafanikio kwa njia yoyote..naona cmnt zinajionesha humu
Ova
Hadi MarekeniUnamfahamu vizuri hadi uko nje uarabuni anakoendaga kazi anazoenda kuzi Fanya na kurudi ??
Mtu yuko tayari apasuliwe mk-nd
Afanikiwe
Watu wanataka mafanikio kwa njia yoyote..naona cmnt zinajionesha humu
Ova
Hapana mkuu sijamfuatilia sana, sema hizi ambazo nimeziona ni anajidharirisha yeye kwa lengo la kupata pesa SASA ni bora anayejidhalilisha yeye kuliko anayewadharirisha wengine kwa manufaa binafsi.Unamfahamu vizuri hadi uko nje uarabuni anakoendaga kazi anazoenda kuzi Fanya na kurudi ??
Mwehu wa kujitakia huyo!Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.
Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine.
Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi.
Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji huduma kama zake, badala ya kujidhalilisha namna hii.
Yaani hii clip anayosifia bango la harusi ya mobeto limenisikitisha mno, na kunifanya niombee wanangu wasije kuwa machawa. Inasikitisha mno.
Badilika ndugu mwijaku bado una muda wa kufanya hivyo.
View attachment 3236829
Mwijaku ni janga jingine la taifa, nasikia ni msomi kutoka Kazuramimba na ni kioo cha Jamii Kwa wanakazuramimba, Sasa najiuliza huwa wanaiga nini kutoka kwake.Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.