Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

Kaz ni kaz cha muhimu kipato na maendeleo

Ww unaona anajiaibisha ila ukwel ni kwamba kakuzidi kila kitu kwanzia maendeleo adi connection
 
Mkuu hakuna pesa nyepesi kama umepata nafasi yakufanya kazi mahala unapulizwa na kiyoyozi shukuru mungu je ushajaribu kuwafikiria wale waokota makopo, wabeba taka, wale wabeba vinyesi kimsingi ni kazi zakujitoa utu kwenda kuhangaika na kinyesi cha mwanadam mwenzako aloenda kukihifafhi mahala baada yakushiba ili nawewe ndiyo upate kushiba.
 
Kaz ni kaz cha muhimu kipato na maendeleo

Ww unaona anajiaibisha ila ukwel ni kwamba kakuzidi kila kitu kwanzia maendeleo adi connection

Kwa hiyo tuache Watu wafanye kazi hata kinyume na maadili mfano rushwa, Umalaya , ushoga , bange, madawa ya kulevya ilimradi yanawapelekea maendeleo basi tuwachekelee ??
Yaani kwa mtazamo wako mtu afanye vyovyote hata vya kumkosesha heshima na utu wake kwenye jamii ilimradi anapata maendeleo ??

Kwa hiyo hata jambazi aendelee kufanya ujambazi ilimradi unampa maendeleo ??!
 
Unamuonea Wivu kwa Kuwa Mama Samia kamkubali.
Watoto wa kambo mna shida.
 
Nilimkuta siku moja ana record kwenye duka la panzia Dodoma ni ni hatari sana. Ibaki kusema kazi yeyote lazima ilinde heshima yako.
 
Binafsi siwezi na sitopenda wanangu wawe hivyo ILA jamaa anajipatia pesa kihalali na anaendesha maisha yake hivyo sioni ubaya ni heri yeye kuliko wanaojipatia pesa kwa kutapeli.
 
kuhusu haya uliyosema sina la kucomment
 
Mzoee, ndivyo alivyo.

Vijana wengi nchi zilizoendelea hutumia disabaility au weakness zao zozote kua strength na kupiga pesa kupitia mitandao.

Hii kwa sasa Africa nayo imekua common way ya kujiingizia maokoto.
Wale watu wafupi sana au warefu sana wanatumia mionekano yao kupiga pesa.
Kwa lijamaa huwa linatikisa kitambi tu, na linalipwa parefu, kuna yule dogo Tenge muonekano wake unampa mpunga mzuri tu.

Hao kina Mwijaku, Baba levo, Doto magari and the likes, ni viumbe waongeaji/waropokaji wasio na haya.
Wao kuropoka chochote hawaoni tabu na ndio udhaifu/uimara wao ulipo na wanautumia in +ve way unawapa pesa.
 
Mafanikio kwa kujitoa utu wako ?
Kwani maana ya mafanikio ni nini labda ?!
Kuwa na material things pekee ?
Tafuta kujua zaidi aisee.
Heshima na utu ndio mafanikio ya kwanza kwa binadamu mengine yanafuata.
Mtu yuko tayari apasuliwe mk-nd
Afanikiwe
Watu wanataka mafanikio kwa njia yoyote..naona cmnt zinajionesha humu

Ova
 
Mtu yuko tayari apasuliwe mk-nd
Afanikiwe
Watu wanataka mafanikio kwa njia yoyote..naona cmnt zinajionesha humu

Ova

Na mimi nashangazwa mno na comments za hivyo huku aisee.
Kumbe wapo wengi wenyevakili kama yake jamaa.
Wanasema ukitaka kumjua mtu Mwambie aongee au aandike ndipo utajua yaliyomo moyoni na kichwani nwake.
Ndipo utajua hapa pana mtu au hapana.
 
Unamfahamu vizuri hadi uko nje uarabuni anakoendaga kazi anazoenda kuzi Fanya na kurudi ??
Hapana mkuu sijamfuatilia sana, sema hizi ambazo nimeziona ni anajidharirisha yeye kwa lengo la kupata pesa SASA ni bora anayejidhalilisha yeye kuliko anayewadharirisha wengine kwa manufaa binafsi.
 
Mwehu wa kujitakia huyo!
 
Mwijaku ni janga jingine la taifa, nasikia ni msomi kutoka Kazuramimba na ni kioo cha Jamii Kwa wanakazuramimba, Sasa najiuliza huwa wanaiga nini kutoka kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…