Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

Kufanya mapenzi kinyume na maumbile hakumpi mtu mafanikio
 
Kiufup ni hatarii kwa taifa na hasa pale tunapokuwa na majiran smart nad well focused.
Na tunao ni swala la muda tu kama sio wajukuu basi ni watoto wetu watakuja kutulaumu kwa kulea huu ujinga wa kuyapa airtime mambo ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…