pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Kufanya mapenzi kinyume na maumbile hakumpi mtu mafanikioHayo ni yale unayoyajua kua anayafanya na anapata hayo unayosema anamiliki.Huoni labda kuna mengine huyajui na yanafanywa naye,ilimradi apate sifa kua ana mafanikio?
Kuna ambao wanafanya mapenzi pia kinyume na maumbile ili muwasifie kua wana mafanikio,sijasema Mwijaku ni mmoja wao.