Tuombeane Watanzania, sababu tuna hali ngumu sana ambayo hatukuizoea

Tuombeane Watanzania, sababu tuna hali ngumu sana ambayo hatukuizoea

Unafiki soo mzuri mimi nimeshaanza kumkumbuka Magufuli. Yule mzee pesa za miradi mikubwa alikuwa anapata wapi? Hakukamua wananchi wa kawaida lakini ameacha alama kabisa. Sikumpenda lakini namkumbuka sana.
Nimenunua umeme wa 2500 nimepewa wa 500.
Nyumba sio yangu na mwenye nyumba hakai hapo.
Nimemwambia Mwenye nyumba aende TRA kutoa mita yetu akasema kama nimeichoka nyumba yake nihame au anipandishie kodi. Nimebaki njia panda. Japo tunajenga nchi yetu lakini makato yamezidi

View attachment 1903075
Mbona alipokuwepo mlimponda sana Mzee wa watu?Mpk mkawa mnamuombea kifo, Wengine alipokufa walifanya sherehe.
Nini kimebadilika tena,mpk umkumbuke?
 
Kwenye huu uchumi wa kati wa makaratasi hiyo buku bee ni pesa nyingi sana.....ndo maana sirikali imeweka buku bee kama nyongeza ya mshahara kwa sababu ni nyingi sana. Kwa hiyo acheni kuzingua watu wakilalama buku bee kukatwa kizembe kwenye ankara zao..........
 
Pole sana kwa changamoto.
unakuta mtu ana miliki flemu za biashara tofauti vibanda kama 20 . Kila kibanda cha biashara kaweka mita yake.
unaumwambia nenda TRA kaondoe mita ulipe wewe kodi ya jengo ana kugomea Kama utaki hama
Hii Serikali inajidai kwa sababu wananchi hawakuchagua. Katiba Mpya
 
Nami nasema unafiki sio mzuri. HAITAKUJA KUTOKEA NIMKUMBUKE MAGUFURI.

Rais genius alikuwa kikwete.
Wee Imagine:
MAFISADI YALIKUWA YANACHOTA MABILIONI, lakini:
* Alikuwa anajenga lami kuunganisha mikoa yote
*Alikuwa anapandisha madaraja na mishahara
*Jkt kuruta wanakula 50k kila kichwa
*Watumishi wakienda kwenge kaseminar kidogo..wanalamba posho
*Mtaani hela ilikuwepo, ukifungua kajibiashara unauza.

KIKWETE ALIKUWA GENIUS AISEE😀😀
Naona umemalizia kwa kujicheka mwenyewe!!
 
na ndiye aliesababisha huyo Magufuli unaemkataa awe rais,
 
Lipeni kodi, nchi inahitaji maendeleo! Kikubwa pesa ifanye kazi tuliyoahidiwa!

Halafu unanunuaje umeme wa buku mbili aiseeee!! Ukinyoosha nguo moja si ushaisha??
Yani wewe huna tofauti na yule malkia wa ufaransa aliyewaambia watu wake wale keki kama wameshindwa kumudu bei ya mkate.
 
Sentesi ya kwanza umeharibu kila kitu!!!uzi wako umekosa mvuto kabisa!!!
Naomba nikwambie yanayitokea sasa hivi hapa nchi ni kutokana na Magufuli!!! Amini usiamini!!!
Alichezea uchaguzi akaleta bunge la hovyo kuwahi kutokea Tanzania linapitisha vitu vya hovyo sasa mnamlaumu nani!??
Hivi unategemea nn kutoka kwa mbunge aliyeshindwa kura za maoni kisha marehemu akambeba!?? Ataweza kujenga hoja kweli!??
Kuna mbungecwa ccm ( simkumbuki) aliwahi kumnangacHalima mdee wa ccm kuwa anaisemavserikalibya ccm wakati bila Magufuli Halima mdee asingekuwa mbunge!!! Sasa unategemea nn kutoka kwa mbunge wa aina hiyo wa ccm!!! (Ambao ndio wengi!?)
Tatizo lenu watz mnalaumu bila kutumia akili!! Mnamtukuza Magufuli bila kuna adhari zake!!
Nakuhakikishia kwa bunge hili la ccm ujinga utakua mkubwa sana na mtasota sana!!
Fikiria Mbunge wa ccm kasema wabunge hawalipi kodi ipasavyo jambo ambalo ni ukweli amefanyiwa nn!?? Hujui Mungu Ndugai kaamuru aitwe ahojiwe!?? Sasa hapo unategemea kuna bunge??? Kumbuka bunge ndio injin ya nchi !??
 
Kwa maumivu haya,Nina wasi wasi Kuna siku nitakua gaidi,nianze kuvizia haya majitu yanayoleta maumivu nayachapa risasi
Mchape mamako kwanza aliyezaa na babako masikini ukakosa elimu!!! Maisha yamepanda sana nenda uliza mafuta yabkuka !!! Petrol ,vifaa vya ujenzi uone!!.wewe unategemea kulalwa hujui dukani kukoje
 
Akili yako siyo nzuri. Siyo wote ni matajiri kama wewe. Watanzania tulio wengi tunaangukia kundi la huyu muungwana. Tunanunua umeme wa sh 3,000/= kwa mwezi kwa ajili ya mwanga tu wakati wa usiku. Mshukuru Mungu kwa ulicho nacho. Usimcheke ambaye hana.
Kweli mkuu. Mwenye shibe hawezi kumkumbuka mtu mwenye njaa.
 
si walisema kama hatuwezi kulipa hizi TOZO tuhamie burundi... ? tusijisahaulishe tuanze kuhamia sasa.[emoji1]
 
"Muungwana" hakuna haja ya kusema haya. Hayahitajiki kabisa hapa.
Mchape mamako kwanza aliyezaa na babako masikini ukakosa elimu!!! Maisha yamepanda sana nenda uliza mafuta yabkuka !!! Petrol ,vifaa vya ujenzi uone!!.wewe unategemea kulalwa hujui dukani kukoje
 
toka kuupiga mwingi hd kupiga wengi
naona tozo ya miamala nikubwa waipitie vzur.

hii tutazoea tu elf 2 kwa miezi miwili

kuna jamaa yangu mmoja analalamika sn hy buku mbili wakati dakika sio nying mchepuko ameutumia elf 25 wala hawazi ila buk 2 inamtoa macho kweli

imefika kipindi tupunguze matumizi ya sio ya lazm tuishi kwakwel nchi sio yetu tena hii
 
Naomba nikwambie yanayitokea sasa hivi hapa nchi ni kutokana na Magufuli!!! Amini usiamini!!!
Alichezea uchaguzi akaleta bunge la hovyo kuwahi kutokea Tanzania linapitisha vitu vya hovyo sasa mnamlaumu nani!??
Kuna ukweli wowote kwenye majibu yako kwa hoja iliyo mezani?

Nikumbushe jambo lolote ambali lingekuwa baya kwa Taifa kwa ujumla ambapo lilipaswa kutopitishwa na bunge, bunge likasimama kidete kupinga na jambo halikuwa!
 
Kemea tu Mdau Serikali ishapandisha Mashetani...
 
Unafiki soo mzuri mimi nimeshaanza kumkumbuka Magufuli. Yule mzee pesa za miradi mikubwa alikuwa anapata wapi? Hakukamua wananchi wa kawaida lakini ameacha alama kabisa. Sikumpenda lakini namkumbuka sana.

Nimenunua umeme wa 2500 nimepewa wa 500.Nyu mba sio yangu na mwenye nyumba hakai hapo.

Nimemwambia Mwenye nyumba aende TRA kutoa mita yetu akasema kama nimeichoka nyumba yake nihame au anipandishie kodi. Nimebaki njia panda. Japo tunajenga nchi yetu lakini makato yamezidi.

View attachment 1903075
Mm nadhani tozo ya kulipia jengo kila mwezi sh 1000 sio shida kama fedha hizo zinakuja kujenga vyumba vya madarasa,vituo vya afya ,vitabu vya kiada.Tatizo kama fedha itatumika ndivyo sivyo hilo ni tatizo.Tukubali kujenga nchi yetu make tukiendelea kuwategemea wazungu hatutafika popote.Watanzania wengi hawalipi direct tax na ni kwa sababu wengi hawajishughulishi lakini wengine wanakwepa kulipa kodi.Tujitahidi kutoa buku sio nyingi kwa mwezi hata kama mtu anaishi chini ya dola moja hawezi kosa buku kwa mwezi mzima .

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Sentesi ya kwanza umeharibu kila kitu!!!uzi wako umekosa mvuto kabisa!!!
Naomba nikwambie yanayitokea sasa hivi hapa nchi ni kutokana na Magufuli!!! Amini usiamini!!!
Alichezea uchaguzi akaleta bunge la hovyo kuwahi kutokea Tanzania linapitisha vitu vya hovyo sasa mnamlaumu nani!??
Hivi unategemea nn kutoka kwa mbunge aliyeshindwa kura za maoni kisha marehemu akambeba!?? Ataweza kujenga hoja kweli!??
Kuna mbungecwa ccm ( simkumbuki) aliwahi kumnangacHalima mdee wa ccm kuwa anaisemavserikalibya ccm wakati bila Magufuli Halima mdee asingekuwa mbunge!!! Sasa unategemea nn kutoka kwa mbunge wa aina hiyo wa ccm!!! (Ambao ndio wengi!?)
Tatizo lenu watz mnalaumu bila kutumia akili!! Mnamtukuza Magufuli bila kuna adhari zake!!
Nakuhakikishia kwa bunge hili la ccm ujinga utakua mkubwa sana na mtasota sana!!
Fikiria Mbunge wa ccm kasema wabunge hawalipi kodi ipasavyo jambo ambalo ni ukweli amefanyiwa nn!?? Hujui Mungu Ndugai kaamuru aitwe ahojiwe!?? Sasa hapo unategemea kuna bunge??? Kumbuka bunge ndio injin ya nchi !??
Kuna ukweli kabisa kwenye hili sababu kama upinzani ungekuwa bungeni ccm wangeogopa kupitisha huu ujinga
 
Kwa maumivu haya,Nina wasi wasi Kuna siku nitakua gaidi,nianze kuvizia haya majitu yanayoleta maumivu nayachapa risasi

Hapana tena Mungu aepushie mbali Mawazo mabaya!

Pole, inauma kweli lakini hebu tuvute subira na kumuomba Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi!
 
Mnap
Akili yako siyo nzuri. Siyo wote ni matajiri kama wewe. Watanzania tulio wengi tunaangukia kundi la huyu muungwana. Tunanunua umeme wa sh 3,000/= kwa mwezi kwa ajili ya mwanga tu wakati wa usiku. Mshukuru Mungu kwa ulicho nacho. Usimcheke ambaye hana.
Mnapata wap muda wa kuangaika na huyu kizibo ??
 
Haya Mambo yasikie kwa wengne Ila no maumivu 2napiitia watu was maisha ya chini kwa tozo hzi.
 
Back
Top Bottom