kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Mbona alipokuwepo mlimponda sana Mzee wa watu?Mpk mkawa mnamuombea kifo, Wengine alipokufa walifanya sherehe.Unafiki soo mzuri mimi nimeshaanza kumkumbuka Magufuli. Yule mzee pesa za miradi mikubwa alikuwa anapata wapi? Hakukamua wananchi wa kawaida lakini ameacha alama kabisa. Sikumpenda lakini namkumbuka sana.
Nimenunua umeme wa 2500 nimepewa wa 500.
Nyumba sio yangu na mwenye nyumba hakai hapo.
Nimemwambia Mwenye nyumba aende TRA kutoa mita yetu akasema kama nimeichoka nyumba yake nihame au anipandishie kodi. Nimebaki njia panda. Japo tunajenga nchi yetu lakini makato yamezidi

View attachment 1903075
Nini kimebadilika tena,mpk umkumbuke?