GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama

Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
 
Walioua ndio watapelekwa huko, ukiangalia majukumu ya ICC unaona ni kama vile yapo kwa ajili ya kuwahukumu viongozi na sio raia mana wao ndio wenye uwezo mkubwa wa kufanya maafa kuliko raia wa kawaida, angalia tuu haya machafuko ya Tanganyika, chanzo kikubwa ni kipi.
 
Hao Malaya uliowataja wanastahiki shaba tu,tuwe na style ya kagame kukufuata kokote,akina Martha karua unaona wakihangaika na siasa za Rwanda!?
uwezi kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo lingine hiyo ni kukosa akili kichwani!
 
Hao Malaya uliowataja wanastahiki shaba tu,tuwe na style ya kagame kukufuata kokote,akina Martha karua unaona wakihangaika na siasa za Rwanda!?
Wewe ndio unatakiwa ulambe shaba na si kina Maria! mtu huru mwenye akili angavu inayojua haki na wajibu hawezi kufikiri ulichosema!
 
Wote waliochochea uchafuzi
***** unaanza kukubali sasa shetani wenu Samia naye anahusika, job well done lakini haitasaidia, ICC lazima wamfunge na akipona huko wananchi watakula naye tuu kwa mauaji aliyofanya
 
***** unaanza kukubali sasa shetani wenu Samia naye anahusika, job well done lakini haitasaidia, ICC lazima wamfunge na akipona huko wananchi watakula naye tuu kwa mauaji aliyofanya
ningekuwa karibu naye, ningemshauri anywe tu sumu akufe
 
uwezi kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo lingine hiyo ni kukosa akili kichwani!
Uvimbe wa saratani hutolewa,jipu hutumbuliwa,jino hung'olewa,huu uanaharakati uchwara unatakiwa kukomeshwa
 
Back
Top Bottom