Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sasa wewe unajua kuogelea.. oky umejifunzia wapi ๐๐๐๐๐Kwa kwel uminishirikisha mm na pwani umenitusi๐
Mana haya mambo wenyewe ndo sisi wa kushinda na mideke kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe unajua kuogelea.. oky umejifunzia wapi ๐๐๐๐๐Kwa kwel uminishirikisha mm na pwani umenitusi๐
Huyu nadhani hili jina alilitoa kule kwny NO FAP.
Huyu nadhani hili jina alilitoa kule kwny NO FAP.
Huko vizuri. Stiven/stephano au ephen kama ephen?ephen ni jina la baba angu
Ephen kama ephenHuko vizuri. Stiven/stephano au ephen kama ephen?
Mm id yangu...haimuhusu yeyote humu jf!!!Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
View attachment 2963491
๐ณ๐ญKwa heshima na taadhima hili jina ni proton pump inhibitor kifaa cha maabara cha kupima helcobacteri viruses kama alivyo etumba etumba Hope urassa
Mwamba kabisa huyu.
Nsumba ndo shule yangu
Sio siri jamani mie mwenzenu nina komwe la haja.
Yaani mimi ni NYAMKOMWE haswaaaaa..... ๐ข๐ข
Shangazi mimi jamanii najihurumiaaa ๐ข๐ข๐ข
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz mshamba_hachekwi Poor Brain
Wizo mbona huna komwe ๐๐Sio siri jamani mie mwenzenu nina komwe la haja.
Yaani mimi ni NYAMKOMWE haswaaaaa..... ๐ข๐ข
Shangazi mimi jamanii najihurumiaaa ๐ข๐ข๐ข
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz mshamba_hachekwi Poor Brain
Wizo ukiliona komwe langu utazimiaa ๐ฅ๐ฅWizo mbona huna komwe ๐๐
Nirushie pic tuone ๐๐๐Wizo ukiliona komwe langu utazimiaa ๐ฅ๐ฅ