Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

Mwanzoni nilikuwa najiita '123abc'

Nilijiunga jf ku-spam links, kuna video niliedit nikawa nataka kupromote, ukitafuta thread yangu ya kwanza sijui utaikuta...😂

Anyway, niliizoea jf haraka, nikaona nijipe jina ambalo linachekesha na linakumbukika, ili ni-stand out.

Nikawaza tu hilo 'mshamba_hachekwi'
 
Mimi hii sumbai kuna mpuuzi mmoja alinifanya masomo na elimu nikaiona ngumu. Sijui kwann jina lake lilikuwa linaclick kichwani paka nikajiita
Huyo mpuuzi yuko UDSM, kuna siku alitaka kunipeleka kwa DEAN eti sikufanya test yake,akaniambia wewe lazima udisco ile ameingia kwa dean Mimi nikanyosha nikashuka ngazi nikaenda library nikadrop course yake nikaenda kutafuta course nyingine ambayo haijafanyishwa test nikaisajili na nikakamilisha, mbwa yule anaroho mbaya.
 
Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.

View attachment 2963491
Mwanzo nilikua najiita Joanne Joel

Haya ni majina ninayapenda sana, kilasiku namwambia Mungu anipe watoto mapacha wa kike na WA kiume niwaite Joanne na Joel

Bas nikipata mtoto wa kike nitamuita Joanne na nikipata mtoto wa kiume nitamuita joel

Joanne which means ( God is gracious ) na Joel which means the Lord is God
 
Nilipenda sana hili jina la tuisheni maana walimu waliokuwa wanafundisha masomo ya ziada walifanya kwa moyo sana, nikavutiwa sana kuwa mwalimu

Ila sasa ni mwalimu wa watu wazima kwenye 1 na 2😎😎
 
Huyo mpuuzi yuko UDSM, kuna siku alitaka kunipeleka kwa DEAN eti sikufanya test yake,akaniambia wewe lazima udisco ile ameingia kwa dean Mimi nikanyosha nikashuka ngazi nikaenda library nikadrop course yake nikaenda kutafuta course nyingine ambayo haijafanyishwa test nikaisajili na nikakamilisha, mbwa yule anaroho mbaya.
Hahaha mwehu Yule. Na makobazi yake anapenda kuvaaa.

ephen_ njoo SASA umjue sumbai
 
Kitimoto
images (2) (1).jpeg
 
Yeah

Alikuwa msumbufu saana.
Pia kuna yule Dr.mkurya kule geography, na mkuda mmoja archaeology mpenda sifa, ila wapo waliokua poa sana kama professor kisimtank wa course ya population huyu alikua mfupi mnene mweusi tukampachika jina la professor kisimtank, prof. Lawi,sadock,George, zoto seminar zake na lecture zake anazipanga jioni makusudi ili apige ulabu kwanza bila ulabu aingii pindi na hachangamki ila akipiga ulabu anatema kimalkia utasema amezaliwa Buckingham palace kwa akina prince Charles.
 
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom