Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

Chry
 

Attachments

  • Screenshot_20240421-115820_1.jpg
    Screenshot_20240421-115820_1.jpg
    227.4 KB · Views: 5
Back in The Days

Nikiwa mwanafunzi, Iyunga Technical School - Mbeya

Nilikuwa nikiishi maisha simple sana, nakula msosi wa shule, siwazi kutoka out, sijali fassion, najali mambo yangu tu

Kuna Madam (cute) alikuja field, nikafaulu vizuri somo lake katika mtihani wa 'Mock' akaja darasani kutaka kunijua maana sikuwa maarufu kabisa.

But aliponiona tu akasema "Kumbe ni wewe, you look "Simple, Boy"

Hiyo statement ilinipaisha sana (walosoma uboyzini wanaelewa)

Madam akasikia kuwa wana wananiita Simple Boy , naye akanibariki jina hilo. By the way maisha yangu shule yalikuwa simple sana

Since that time "Simple-boy-life" has been my nickname in most cases (some informations closed)
Vipi sasaivi mkuu… bado unaishi simple life (rastaman)
 
Back
Top Bottom