Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Essa música foi acesa antigamente 🔥Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
View attachment 2963491
Mii hapa hii poor brain
kipindi hiko tunasoma history topic ya evolution of man...
Kuna zile hatua eg. homo eructus... Xristics zake tunasema alikua poor brain.
Sasa class kila nikiona mtu kajibu swali opposite mi nilikua na comment poor brain
Lilinikaa sana hili neno...
😂😂😂😂😂
Tupo pamoja..😅😅umetisha poor brain
Dah Hii Imekaa Poa sana..As Per My name.. MAMBO JAMBO..
Imekuwa Delivered from The Words "Mumbo Jumbo"
ambayo inamaanisha something that's meaningless or confusing but pretends to make sense.
View attachment 2963878
Fuatilia uone mkuuImebidi niifatilie hii.
Basi wenye komwe wanakuwa wazuri balaa na wanakuwa wamejazia katika angle muhimu.Sio siri jamani mie mwenzenu nina komwe la haja.
Yaani mimi ni NYAMKOMWE haswaaaaa..... 😢😢
Shangazi mimi jamanii najihurumiaaa 😢😢😢
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz mshamba_hachekwi Poor Brain
😹😹😂😂 angle gani hizo?Basi wenye komwe wanakuwa wazuri balaa na wanakuwa wamejazia katika angle muhimu.
Fifi moto[emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe unalikosea bana, mwenyewe analiita kiswaga sana’a na ile lafudhi ya kichuga ile ya machaliii La mama 😍Mama la mama😁
The truly one.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo!!Sio siri jamani mie mwenzenu nina komwe la haja.
Yaani mimi ni NYAMKOMWE haswaaaaa..... [emoji22][emoji22]
Shangazi mimi jamanii najihurumiaaa [emoji22][emoji22][emoji22]
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz mshamba_hachekwi Poor Brain
wizo umenisusaaaa 😭😭😭😭😭[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo!!