Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sasa wewe unajua kuogelea.. oky umejifunzia wapi πππππKwa kwel uminishirikisha mm na pwani umenitusiπ
Huyu nadhani hili jina alilitoa kule kwny NO FAP.
Huyu nadhani hili jina alilitoa kule kwny NO FAP.
Huko vizuri. Stiven/stephano au ephen kama ephen?ephen ni jina la baba angu
Ephen kama ephenHuko vizuri. Stiven/stephano au ephen kama ephen?
Mm id yangu...haimuhusu yeyote humu jf!!!Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
View attachment 2963491
π³πKwa heshima na taadhima hili jina ni proton pump inhibitor kifaa cha maabara cha kupima helcobacteri viruses kama alivyo etumba etumba Hope urassa
Mwamba kabisa huyu.
Nsumba ndo shule yangu
Sio siri jamani mie mwenzenu nina komwe la haja.
Yaani mimi ni NYAMKOMWE haswaaaaa..... π’π’
Shangazi mimi jamanii najihurumiaaa π’π’π’
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz mshamba_hachekwi Poor Brain
Wizo mbona huna komwe ππSio siri jamani mie mwenzenu nina komwe la haja.
Yaani mimi ni NYAMKOMWE haswaaaaa..... π’π’
Shangazi mimi jamanii najihurumiaaa π’π’π’
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz mshamba_hachekwi Poor Brain
Wizo ukiliona komwe langu utazimiaa π₯π₯Wizo mbona huna komwe ππ
Nirushie pic tuone πππWizo ukiliona komwe langu utazimiaa π₯π₯