No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass..watanzania wenyewe waoga.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi lissu yupo vizuri kweli kichwani. Ushauri ulitolewa awaunganishe yeye ndiyo anawagawa zaidi.
Lissu ni mjuaji sana.
Waingie wapate ruzuku..kuzuia uchaguzi hawawezi.
..kuzuia wasienguliwe hawawezi.
..kutangazwa wakishinda hawawezi.
..mnawashauri wafanye nini?
Waingie wapate ruzuku
Umeshiba Nayai?No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.
Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa
Sasa hapo shida ni Lissu ama nyie watanzania waoga na machawa?No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass..watanzania wenyewe waoga.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi lissu yupo vizuri kweli kichwani. Ushauri ulitolewa awaunganishe yeye ndiyo anawagawa zaidi.
Lissu ni mjuaji sana.
Sasa hapo shida ni Lissu ama nyie watanzania waoga na machawaNo election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass..watanzania wenyewe waoga.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi lissu yupo vizuri kweli kichwani. Ushauri ulitolewa awaunganishe yeye ndiyo anawagawa zaidi.
Lissu ni mjuaji sana.
Mbowe aliitisha makamanda hawakutokea, akaenda yeye na binti yake tu. Hata lisu, Mnyika na Erythrocyte hawakutokea!Kwa staili hii ya kuitisha maandamano alafu wanatoka watu wawili hamna namna uchaguzi unaweza kuzuiwa
Dishi limeyumba kiasi fulani.Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.
Kukosoa sawa na kususia sawa..je kushinikiza kutokufanyika uchaguzi wanaweza...lissu mwehu sana kumbeKujibu hoja yako.
1. Agenda ya No reform No election ni agenda ya CHADEMA, na sio agenda binafsi ya Lissu. Hiyo agenda ilipitishwa na Chadema na kuanza kuhubiriwa na Mbowe. Lissu ameikuta.
2. Dhana ya kutokuwepo uchaguzi ina maanisha; kuunyima uhalali uchaguzi kwa misingi ya:
-Kukosoa mchakato wa uchaguzi.
-Kushinikiza kutokufanyika uchaguzi
-Kususia uchaguzi.
Prove itCCM washaanza kumtumia Mrema... hafiki popote yule hana ushawishi wowote ule.
Wewe unaonaje,zipo hazipo?Unayo majibu gani hadi wakati huu.No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.
Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa
Lakasa Chika7 uione hii,usikubali kupitwa kijani wanademka huku.
WehuAsuse Tu Vyama Vipo vingi
Uzuri Chama kimoja akiwezi zuia matakwa ya katiba
Wew unawaza madaraka na ruzuku.No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.