PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lissu is a megalomaniac insane politician. He's there to destroy Chadema!
 
Hana akili ya uongozi.G55 ni akili kubwa
 
Hakuna kuitwa Ikulu hawana adabu midomo michafu
 
Hii nchi uchaguzi uliopo ni Kama kiini macho, kushiriki uchaguzi wa nchi hii ni uwendawazimu
 
kuzu
..kuzuia uchaguzi hawawezi.

..kuzuia wasienguliwe hawawezi.

..kutangazwa wakishinda hawawezi.

..mnawashauri wafanye nini?
kuzuia wakati wa kutangazwa kidogo inawezekana kama wamejipanga.
 
kuzu

kuzuia wakati wa kutangazwa kidogo inawezekana kama wamejipanga.

..baada ya 2015 CCM wameongeza nguvu katika kulinda wizi wa kura.

..CCM hawawezi kurudia makosa waliyoyafanya 2015 kwenda nyuma kuruhusu upinzani uongeze kura kila uchaguzi.

..Chadema wanatakiwa wapambane kuhakikisha mazingira na sheria za uchaguzi yanaboreshwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi.
 
"Bila kuzaliwa mara ya pili huwezi kuingia mbinguni'
Jamaa akauliza Ina maaana inabidi niingie tena tumboni kwa mama!
Kwani kinachowakela, ccm ni nini,si mfanye uchaguzi wenyewe!kwanini mnataka chadema ishiriki, chadema imegoma kushiriki, hii ilibidi iwe mziki mtamu kwa ccm, wapite bila kupingwa! Lakini inawakela kuona chadema, inagomea uchaguzi!
Ikitokea, uchaguzi, ukafanyika, na ccm tu Wakashiriki, bila wapinzani, zile kamati za bunge zitaongozwa na nani?kisheria lazima ziongozwe na wa bunge kutoka chama ki kubwa cha upinzani! Sasa, kama chama cha, upinzani hakishiriki, ni dilemma kwa, ccm,
 
Hapo ndo upigwa mahesabu,nani waingizwe kwa mlango wa nyuma na hawawezi chukua wa tadea,tlp,cuf,nccr wala sau,lzma waje wachungulie ndani ya CDM nana anyofolewe kwa gharama yoyote ili aingie mjengoni?mmh patamu hapo!! eeeh.
 
Ndiyo maana Africa hatujaendelea kabisa. Hatuna ujasiri/uthubutu. Vitu vinavyowezekana kwa kuvifanyia kazi hatuamini kama vinawezekana....ila tunaamini anachotumbia Mwamposa huku tumeweka matako chini.
 
Kuna vyama vingine vingi...je ni kwa Nini wewe unawalazimisha kina Lisu wabadilishe mtazamo wao?
Hoja za hao watu zisikilizwe ila si lazima zifuatwe ...acha tuone Waongo wote wakijitokeza sasa..Kuwaza Ubunge,Udiwani,n.k wakati nchi inajichimbia kaburi baya si sawa.
 
Shida ya Mrema ni kuwa kwa miaka 24 amekuwa akiendesha maisha kwa kutumia Ruzuku ya kupewa na CCM!
 
Hakuna mtu anayeweza kuzuia uchaguzi usifanyike.

No election ni ujuha.

G55 wana hoja wasikilizwe.
Wewe na mleta mada hamjatoa hoja yeyote, zaidi tu ya kutukana majuha.

CDM wanaweza kususia uchaguzi, na technically wakawa wameweza kuzuia.

Uchaguzi utakaofanyika kwa CCM kugombea bila upinzani, maana yake watapita bila kupingwa, hakuna mtu mwenye akili timamu atayekwenda kupiga kura bila wapinzani.

Maana yake hakutakuwa na uchaguzi.

Mumeelewa wandugu?
 
Lissu hawezi kuzuia UCHAGUZI Lissu ametuamrisha sisi Watanzania tuzuie UCHAFUZI.
 
Wanaosema CHadema wakishiriki watapata ruzuku watuambie mwaka 2020 walipata wabunge wangapi?je ilikuwa ndo haki Yao au walidhurumiwa?Na kama walidhurumia wanadhani nikitu Gani kimebadilika kitakachofanya CHADema wapewe haki ya kula zao ilibwapate ruzuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…