PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inaumiza saana kuona uwezo mdogo wa watanzania wengi kushindwa kuielewa hoja mkakati wa Chadema ya sasa ya NR NE. Kwani ni wapi lisu alisema CHDMA hawatashiriki uchaguziii mwaka huu!!!!!??? wanachofanya kwa sasa ni kuipa jamba jamba serikali na wapambe wake ikiwa ni pamoja na kuivua nguo kwa wananchi kusudi wasirudie ujinga walioufanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.ahata wakifanya itakuwa kidogo saana sio kwa kuijiachia kule.. pia hili vuguvugu la sasa linawasiadia saana chagema kuwa na ajenda ya kufanya kampeni mapema na kupata mileage kubwa kwa wananchi baada ya kupoteza mvuto, hivi wasingekuwa na hii ajenda kwa mfano wananchi wangekuwa wakusanyika kwa wingi kwenda kusikiliza nini!! Lisu na Heche ni akili kubwa saana..

Sasa baada ya chama chakavu kuona mipango yao inaenda mrama ndio maana sasa wameamua kuja na dhana na mpango ya hawa NJAA 55 ni dhahiri unaona jinsi hawa wachumia tumbo wasivyokuwa na hoja......Hili limewagusa pabaya "system na chama chakavu "hasa baada matokeo ua uchaguzi ndani ya Chadema...walipanda mahindi wakavuna magugu..
 
hakuna mtu mwenye akili timamu atayekwenda kupiga kura bila wapinzani.

Maana yake hakutakuwa na uchaguzi.

Mumeelewa wandugu?
Mkuu unawajua CCM kweli? Unavijua vyama vya mfukoni? CDM wakisusia means SISIEMU watawa endorse vyama vya mfukoni washiriki kwa ahadi ya kupewa majimbo ,tena sisiemu watafurahi sana kama CDM hawatoshiriki na wana sisiemu watajitokeza mpaka watavunja rekodi.

Pili hakuna haja ya kuhamasisha watu wasishiriki ,CDM wasiposaini kanuni za"madili" ya uchaguzi automatically wamejitoa.
 
CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani.

Bila ushiriki wa CHADEMA maana yake CCM wamepita bila kupingwa.

Maana yake hakukuwa na uchaguzi.
 
Kama kungekuwa na upinzani wa kweli huu ndo ulikuwa wakati sahihi wa kupata mabadiliko,, Wapinzani wote wangegoma kushiriki uchaguzi mpaka mabadiliko yafanyike,,,Halafu tungeona kama dunia ingetuelewa
 
CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani.

Bila ushiriki wa CHADEMA maana yake CCM wamepita bila kupingwa.

Maana yake hakukuwa na uchaguzi.
Hakuna kitu kama hicho ,CDM wakisusa vyama vya mfukoni vinashikilia mikoba.
 
Mbaya zaid wasichokijua hiyo sku kutakuwa hakuna kazi, sis watanzania tunapenda kusikia story tu na msemo wetu mkubwa ngoja tumuachie Mungu
 
Mbowe kupitia haya MAGENGE yake amejiondolea heshima yote. Na kwa bahati mbaya kila mbinu anayojaribu kuhujumu TAL zinamuacha tackle wazi, anaishia kujiabisha tu.
 
Hapo ndo upigwa mahesabu,nani waingizwe kwa mlango wa nyuma na hawawezi chukua wa tadea,tlp,cuf,nccr wala sau,lzma waje wachungulie ndani ya CDM nana anyofolewe kwa gharama yoyote ili aingie mjengoni?mmh patamu hapo!! eeeh.

..Na nani ndani ya Ccm yuko tayari kutolewa kafara ili Chadema wapachikwe ktk nafasi yake?

..Ccm wote wanaamini kwamba wanastahili kusaidiwa na dola ktk kuwapora wapinzani kura.

..Ccm wameshazoea ushindi wa kimbunga wa asilimia 98.9%, na hawako tayari kwa ushindi pungufu ya huo.
 
"Shida sio kwamba watu wetu wanaenda kuumizwa, shida ni kwamba twende ili tupate ruzuku, hiyo ruzuku inafika Masas? Na hayo maisha ya watu? Maisha ya watu kumbe ni ruzuku kwa vyama vinavyoshiriki uchaguzi?

Nilidhani kwenye uchaguzi ni kwenda kutafuta viongozi! Kumbe kuna watu wanawaza pesa, hawajali watu kufa (kwenye uchaguzi), ndiyo hivyo? Hakuna mabadilko, hakuna uchaguzi" @TunduALissu

Masasi, Mtwara, leo, Aprili 07, 2025
#NoRefomsNoElection #NIMO
 


Ashauriwe kuingia chaguzi ili wakaenguliwe huo ni ujinga. Hakuna hajanya ruzuku fake chama kitaenda kwa michango ya watu tu . Kwani kwa sasa kuna ruzuku gani ya maana
 
Sio rahisi binadamu wa Tanzania kuzuia uchaguzi, isipokuwa kwa mapenzi ya Mungu wa mbinguni tu.
 
Upo sawa mkuu, No election no reform hakika ni idea haitekelezeki.


But No reform no election ni idea inayo tekelezeka.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hili kutowavuruga wengine walio kwenye majimbo yao,wanakimbilia viti maalumu.
 
Umemsikia jana ...yule jamaa kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…