Tuongeeni tu ukweli, foleni za Dar kwa sasa zinatisha!

Dawa ni kuzitia lami.barabara zinazounganisha wilaya hadi wilaya n.k.
Kwa mfano Barabara inayounganisha kibaha na bagamoyo.ile barabara ingewekwa lami.MTU akitaka kwenda kibaha,mbezi,kimara,kinyerezi n.k.
Asingekwenda mpaka mwenge,
 
Ring roads ni muhimu mno!
 
Mi leo nimetoka home saa kumi na mbili na nusu nimefika ofisini saa nne kasoro...nikadhani kuna lori limeanguka njiani....sijui nitoke saa kumi usiku...? haijawai kunitokea...ila nimeuliza wenzangu wakasema toka wiki ilopita hali si shwari... 9nilikuwa safarini)
 
Kuna ile njia ya kwenda mbagala nomaaa kila saa milori inaharibika njiani hiyo vita yake usipime....

Na kule ka unaenda kongowe ya mbagala kuna pahala kuna daraja na kimlima hiv wanaita mzinga ukikuta roli limeharibika pale rudi ulipotoka tafuta pakulala
 
Haaa haaaa [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo kama una usafiri wako watu waanze kutembea na magodoro madogo madogo
 
Kuna ile njia ya kwenda mbagala nomaaa kila saa milori inaharibika njiani hiyo vita yake usipime....

Na kule ka unaenda kongowe ya mbagala kuna pahala kuna daraja na kimlima hiv wanaita mzinga ukikuta roli limeharibika pale rudi ulipotoka tafuta pakulala
Hahahahaha, kwahiyo watu watembee na mashuka ya kulalia sio? Ahahahahah
 
Kwa sasa hali ni mbaya sana,
Ilikuwa kutoka kibamba mpaka mbezi stand ni dakika tano au nne tu, hahahaha lakini toka wiki juzi si chini ya saa moja kwa safari ya kibamba mbezi mwisho. Bora kutembea kuliko kutumia usafiri wowote, kidogo bora upande daladala mana huwa wanatanua wakati wewe na ka baby walker kako unaogopa cheti
 
Mameee"" kuna siku "Niliwahi Kukaa Kwenye "" Jam..Morogoro road "" Kuanzia saa 4 Ya Usiku " Home " Nikafika "" SAA 7 Sinto Sahau ""....
punguza michepuko ha ha ha hiyo kitu ulimdanganya mkeo unataka kutudanganya na sie JF Great Thinkers
 
Kwa sasa hali ni mbaya sana,
Ilikuwa kutoka kibamba mpaka mbezi stand ni dakika tano au nne tu, hahahaha lakini toka wiki juzi si chini ya saa moja kwa safari ya kibamba mbezi mwisho. Bora kutembea kuliko kutumia usafiri wowote, kidogo bora upande daladala mana huwa wanatanua wakati wewe na ka baby walker kako unaogopa cheti
Daladala pia ina faida unalala usingizi unapunguza uchovu hata ukitoka kazin saa 11 ukifika saa 3 usiku home ushalala
 
Kweli hii nayo point, tena point hasaa, mana kukaa barabarani unahangaika na madreva wenzako wakati waweza relax mpaka ufike, ishu ni je utapata sit?
Hapo sasa utalala huku umesimama na barabara mbovu hivi, kuna siku nimepanda na mbaba anasinzia huku kasimama jamani utazani anacheza mziki wa kina P . Square
 
Kweli hii nayo point, tena point hasaa, mana kukaa barabarani unahangaika na madreva wenzako wakati waweza relax mpaka ufike, ishu ni je utapata sit?
Siti unageuza nalo unasogea vituo kadhaa kabla ya linapoishia ka unaweza kujaza wese gari nauli 800 ili upate siti sio mbaya
 
Back
Top Bottom