Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
In short nligeuka trafikiinamaana "" wewe " uliwahi kukaa zaidi ya huo muda ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In short nligeuka trafikiinamaana "" wewe " uliwahi kukaa zaidi ya huo muda ??
hahaha...kama hali ndio ilikuwa hivyo "" basi pole sanaIn short nligeuka trafiki
Asante mkuu ...hahaha...kama hali ndio ilikuwa hivyo "" basi pole sana
Ring roads ni muhimu mno!Dawa ni kuzitia lami.barabara zinazounganisha wilaya hadi wilaya n.k.
Kwa mfano Barabara inayounganisha kibaha na bagamoyo.ile barabara ingewekwa lami.MTU akitaka kwenda kibaha,mbezi,kimara,kinyerezi n.k.
Asingekwenda mpaka mwenge,
Ni kweli.Mimi nikiwa naenda mjini bora nichukue bodaboda.foleni siipendi.Ring roads ni muhimu mno!
Haaa haaaa [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo kama una usafiri wako watu waanze kutembea na magodoro madogo madogoKuna ile njia ya kwenda mbagala nomaaa kila saa milori inaharibika njiani hiyo vita yake usipime....
Na kule ka unaenda kongowe ya mbagala kuna pahala kuna daraja na kimlima hiv wanaita mzinga ukikuta roli limeharibika pale rudi ulipotoka tafuta pakulala
Hahahahaha, kwahiyo watu watembee na mashuka ya kulalia sio? AhahahahahKuna ile njia ya kwenda mbagala nomaaa kila saa milori inaharibika njiani hiyo vita yake usipime....
Na kule ka unaenda kongowe ya mbagala kuna pahala kuna daraja na kimlima hiv wanaita mzinga ukikuta roli limeharibika pale rudi ulipotoka tafuta pakulala
punguza michepuko ha ha ha hiyo kitu ulimdanganya mkeo unataka kutudanganya na sie JF Great ThinkersMameee"" kuna siku "Niliwahi Kukaa Kwenye "" Jam..Morogoro road "" Kuanzia saa 4 Ya Usiku " Home " Nikafika "" SAA 7 Sinto Sahau ""....
Daladala pia ina faida unalala usingizi unapunguza uchovu hata ukitoka kazin saa 11 ukifika saa 3 usiku home ushalalaKwa sasa hali ni mbaya sana,
Ilikuwa kutoka kibamba mpaka mbezi stand ni dakika tano au nne tu, hahahaha lakini toka wiki juzi si chini ya saa moja kwa safari ya kibamba mbezi mwisho. Bora kutembea kuliko kutumia usafiri wowote, kidogo bora upande daladala mana huwa wanatanua wakati wewe na ka baby walker kako unaogopa cheti
Daladala pia ina faida unalala usingizi unapunguza uchovu hata ukitoka kazin saa 11 ukifika saa 3 usiku home ushalala
Hapo sasa utalala huku umesimama na barabara mbovu hivi, kuna siku nimepanda na mbaba anasinzia huku kasimama jamani utazani anacheza mziki wa kina P . SquareKweli hii nayo point, tena point hasaa, mana kukaa barabarani unahangaika na madreva wenzako wakati waweza relax mpaka ufike, ishu ni je utapata sit?
Siti unageuza nalo unasogea vituo kadhaa kabla ya linapoishia ka unaweza kujaza wese gari nauli 800 ili upate siti sio mbayaKweli hii nayo point, tena point hasaa, mana kukaa barabarani unahangaika na madreva wenzako wakati waweza relax mpaka ufike, ishu ni je utapata sit?
Daah..., ni hatariHapo sasa utalala huku umesimama na barabara mbovu hivi, kuna siku nimepanda na mbaba anasinzia huku kasimama jamani utazani anacheza mziki wa kina P . Square
Anaseleleka tu jamani kama anacheza Ngoma za utamaduniDaah..., ni hatari
Siti unageuza nalo unasogea vituo kadhaa kabla ya linapoishia ka unaweza kujaza wese gari nauli 800 ili upate siti sio mbaya