Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
FactKuna msemo wa kijinga kwamba kila mtoto huja na riziki yake hapa duniani💀☠️ upuuzi😵💫😵💫😖
NOmaContinuation of species, watu wasipozaa unategemea human species itaendeleaje?
Inatakiwa tufanye mgomo wa kuleta watoto duniani mpaka alie tuleta duniani aje kurekebisha mfumo aondoe watu wapvu la sivyo dunia ikose watu cause haina maana iendelee kuwepo na uovu mkubwa kiasi hikiTumeshaongea sana humu kuhusu Hilo , Kuna ukweli mkubwa sana kuhusu bandiko lako
Tatizo ni ile mentality tuliyo mezeshwa na Jamii zetu kwamba binaadamu anapaswa kuzaa lakini in reality Dunia sio sehemu salama Kwa binaadamu
Hujisikii vibaya kuleta mtu ambae mwisho wake ni kufa. Watalia watu wengi sana kwenye msiba wake. Huoni wewe ndio chanzo cha hilo tatizo?Wewe usipoleta watu inatosha 👍
Ni ngumu sana kuhusu HiloInatakiwa tufanye mgomo wa kuleta watoto duniani mpaka alie tuleta duniani aje kurekebisha mfumo aondoe watu wapvu la sivyo dunia ikose watu cause haina maana iendelee kuwepo na uovu mkubwa kiasi hiki
Na maamuzi yake yaheshimiwe😂😂Wewe usipoleta watu inatosha 👍
Kwanini ulete mtu duniani ambae mwisho wake itakuwa ni kufa na siku ya msiba wake watahuzunika watu wengi sana? Hujioni kuwa wewe ni muovu na mbinafsi? Usiejali hisia za watu watakao Lia kwenye msiba wa mtoto wako? Au hujasikia methali isemayo " Mtaka nyingi nasaba hupata mingi msiba"?kwamba watu wakizaliana wanaendeleza uovu?
ndio akili zako zimeishia hapo?
Wewe mpka saivi unafanya nini kwenye dunia ya waovu kama sio mnafiki ?Hujisikii vibaya kuleta mtu ambae mwisho wake ni kufa. Watalia watu wengi sana kwenye msiba wake. Huoni wewe ndio chanzo cha hilo tatizo?
Si ndio na aheshimu ya wale waliochagua kuongeza watuNa maamuzi yake yaheshimiwe😂😂
Ikitengenezwa kama idea inawezekana... Pia kwa kusoma, sayansi inasema kuna uhusiano mkubwa sana Kati ya mzunguko wa mwezi na wana wake kutunga Mimba, mwezi ukiwa push away from its axis, itaathiri uwezo wa wana wake kupata Mimba. Kama tungekuwa na teknolojia hiyo ingewezakana. Meanwhile tunaweza kutumia dawa na vyakula na vipo vingi tuNi ngumu sana kuhusu Hilo
Do you think Mabepari watakubali wakati wao wanataka watu wazaliane ili wawatumie kwenye project zao
Nawahamaisha watu wasilete watu kwenye dunia ya waovu. Niambie upo duniani kufanya nini?Wewe mpka saivi unafanya nini kwenye dunia ya waovu kama sio mnafiki ?
Nikuelekeze namna ya uiacha dunia ya waovu ?
Sijui umenielewa my point is uwepo wa binaadamu ni Benefits Kwa watawala wafanya-biashara and the likes ili waweze kuendelea kutajirika na vizazi vyao viendelee kubaki kuwa kwenye chain ya utawala + utajiri wana hitaji watuIkitengenezwa kama idea inawezekana... Pia kwa kusoma, sayansi inasema kuna uhusiano mkubwa sana Kati ya mzunguko wa mwezi na wana wake kutunga Mimba, mwezi ukiwa push away from its axis, itaathiri uwezo wa wana wake kupata Mimba. Kama tungekuwa na teknolojia hiyo ingewezakana. Meanwhile tunaweza kutumia dawa na vyakula na vipo vingi tu