hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😂Hahahahahaaaaa 😆😅🤣😂
Bwege
😂Hahahahahaaaaa 😆😅🤣😂
Sio kwamba kuzaa ndio ushetani unaleta watoto kwenye ulimwengu uliojaa waovuNi ajenda ya kishetani.
Uovu na wema ni mtazamo Mkuu, mitume walipigana vita na kuchinja wengi sana lakini Leo watu wanawaona watakatifuKwanini?
UpuuziKifo ni kifo
Sawa upo sahihi. Ila jibu swali, huoni kwamba wewe ni mtu muovu kuwa leta watoto kwenye dunia iliyo jaa kila aina ya upvu? Kuna kitu gani cha maana kwenye hii dunia cha kufanya ulete kiumbe kukitesa? Kwanza hujui hata utakufa lini unacheza kamari, unaweza kufa mtoto wako akiwa na miaka miwili.. Kwanini kumtesa kiumbe asie na makosa?Huyu mtoa uzi siyo ridhiki ndiyo maana anatafuta justification ya kutokuwa na watoto. Who is Tupac after all mpaka leo ufuate alichofanya?
Hapo ndipo unapokosea kuwaleta mitume ambao Sisi hatuwajui.. Mimi nazungumzia uhalisia.. Duniani kuna kila aina ya upvu watu wanatekwa, wanauliwa, etc etc... Wewe unawaleta watoto wako kuishi kwenye dunia ya namna hiyo kwa sababu gani?Uovu na wema ni mtazamo Mkuu, mitume walipigana vita na kuchinja wengi sana lakini Leo watu wanawaona watakatifu
Umekosa Majibu mkuu. Acha uovu. Acha kuleta watu kwenye dunia hii iliyo jaa uovu. Ondoa kwanza uovu ndio ulete watotoUpuuzi
With my 8 kids, hakika naiona thamani ya uwepo wangu duniani... na ninapata nguvu kubwa ya kupambana kila panapo pambazuka kila nikitazama wanavyo shambulia misosi kama mchwa...🥰
Hiyo mmiliki ndio starehe ya Dunia sasaHapo ndipo unapokosea kuwaleta mitume ambao Sisi hatuwajui.. Mimi nazungumzia uhalisia.. Duniani kuna kila aina ya upvu watu wanatekwa, wanauliwa, etc etc... Wewe unawaleta watoto wako kuishi kwenye dunia ya namna hiyo kwa sababu gani?
Acha kula kabisa ili ufe usioone ouvuUmekosa Majibu mkuu. Acha uovu. Acha kuleta watu kwenye dunia hii iliyo jaa uovu. Ondoa kwanza uovu ndio ulete watoto
Kwa uovu huu unaoendelea duniani, hakuna hata mantiki ya hiyo human specie kuwepoContinuation of species, watu wasipozaa unategemea human species itaendeleaje?
Acha kula kabisa ili ufe usioone ouvu
Kula nako ni uovu unapendaje kula kwenye dunia ya waovu ili ushuhudie uovu.!?
Sure!Watu wanaanza kuamka sasa.
Wewe utakufa na watoto utakao waleta pia watakufa..Kufa au jiue tuachie dunia yetu tuijaze.
Baba yako angefuata muongozo huu wakoInatosha kwa Mimi kuona uovu. Sitaki watu wengine wauone uovu kwa sababu nawapenda. Natakiwa kula ili ni wa hubiri watu waache kuleta watoto kwenye uovu duniani
Isipoendelea yeye asieleta mtoto anapata hasara gani?Continuation of species, watu wasipozaa unategemea human species itaendeleaje?
Wakati Nazaliwa hakukuwa na uovu kama uliopo sasa kwa hiyo alikuwa sahihi kabisaBaba yako angefuata muongozo huu wako
Ungepata wapi la kutuonya tusilete waovu Duniani.?