Tupac alipitia maumivu makali Sana, that ilimtoa mchezoni na akaanza kuona maisha ya hapa duniani hayana maana.
Imagine unazaliwa, humjui baba ako, mama ako ni mlevi wa madawa ya kulevya, unaishi na wauza madawa, unakuwa kimziki then magangster wana ku shoot risasi Tano, una survive.
Ukirudi you've nothing to loose but only becoming who you were supposed to be. So kinachotokea hapo jamaa aliona kabisa, kwanza my history, watoto watajua, what kind of parent am I gonna become. Would my children love me? (Trauma response!)
Nyie haya maisha yaacheni tu, Huwa najaribu kuangalia watu, then naona mapito Yao, alaf najua kabisa it wasn't a mistake huyu kaishia kuwa hivi.