Tupac aliwaza mbali sana kuhusu suala la kuleta watoto duniani

Tupac aliwaza mbali sana kuhusu suala la kuleta watoto duniani

Yawezekana tupo hapa duniani kimakosa..
Nimependa hitimisho hili, kwa hakika linafikirisha na linaweza kuwa na mantiki ukiwaza kwa engo nyingine.

Ila ukweli juu ya hoja hii kwamba kuzaa ni kuendeleza uovu , umaskini ubaya , wema nk kunaweza kuwa na mntiki.

Ukitaka kulijua hilo kuwa na watoto kisha angalia mapito wanayo pitia , maumivu ,maudhi , adhabu za kusoma shuleni , mambo ya dini nk.

Mfumo wa maisha unamuweka mwanadamu tokea akiwa mdogo ama mchanga mpaka siku ile ya mwisho kwenye uso wa dunia kuwa ni wa adhabu wakati wote.
 
Kwanini umlete mtoto aje kuishi kwenye dunia iliyo jaa uovu na waovu? Hilo ndio swali la msingi
Dunia ina uovu na waovu tu? Hamna other sides?
Naona watu hawataki kuondoka, ni wachache wenye uthubutu na ujasiri wa kujiondosha wenyewe. Tuliobaki tunatamani tuishi hata miaka buku, Dunia tamu we askwambie mtu
 
D
Kila mtu achague anachoweza lakini nature imeshaweka limit ya kila kitu!.

Sidhani kama tunatakiwa tuache kuzaa ila inatakiwa tupambanie dunia iwe ni sehemu salama kwa viumbe!, so kama tutashindwa kuifanya dunia kuwa sehemu salama basi hio itakuwa ni aibu kwetu wenyewe!.
Dunia itakuwaje sehemu salama ya kuishi wakati Kuna Mungu na Shetani?
 
Nimependa hitimisho hili, kwa hakika linafikirisha na linaweza kuwa na mantiki ukiwaza kwa engo nyingine.

Ila ukweli juu ya hoja hii kwamba kuzaa ni kuendeleza uovu , umaskini ubaya , wema nk kunaweza kuwa na mntiki.

Ukitaka kulijua hilo kuwa na watoto kisha angalia mapito wanayo pitia , maumivu ,maudhi , adhabu za kusoma shuleni , mambo ya dini nk.

Mfumo wa maisha unamuweka mwanadamu tokea akiwa mdogo ama mchanga mpaka siku ile ya mwisho kwenye uso wa dunia kuwa ni wa adhabu wakati wote.
100% facts.


Aisome ShesRise_1
 
Dunia ina uovu na waovu tu? Hamna other sides?
Naona watu hawataki kuondoka, ni wachache wenye uthubutu na ujasiri wa kujiondosha wenyewe. Tuliobaki tunatamani tuishi hata miaka buku, Dunia tamu we askwambie mtu
Natajie jambo lolote duniani ambalo halina uovu ndani yake
 
So na wewe utaacha huo ukatili?
Kwanini unaita ukatili?
Ukiwa wewe mpka saiv unang'ang'ania kuishi kwenye dunia ya wakatili

Iko hivi watu hatufanani na hatutafanana wewe ishi kwa njia zako pamoja na wenzio wenye mawazo kama yako

Halafu sisi wenye mtazamo wa kuzaliana tuacheni
 
Tupac alipitia maumivu makali Sana, that ilimtoa mchezoni na akaanza kuona maisha ya hapa duniani hayana maana.

Imagine unazaliwa, humjui baba ako, mama ako ni mlevi wa madawa ya kulevya, unaishi na wauza madawa, unakuwa kimziki then magangster wana ku shoot risasi Tano, una survive.

Ukirudi you've nothing to loose but only becoming who you were supposed to be. So kinachotokea hapo jamaa aliona kabisa, kwanza my history, watoto watajua, what kind of parent am I gonna become. Would my children love me? (Trauma response!)

Nyie haya maisha yaacheni tu, Huwa najaribu kuangalia watu, then naona mapito Yao, alaf najua kabisa it wasn't a mistake huyu kaishia kuwa hivi.
 
Eti Wema ana enjoy kuishi bila watoto, huna unalojua Wema na Komando Jide wamehangaika sana kupata watoto labda kama we ni genZ huna data! Turudi kwa Tupac jamaa pamoja na ushawishi wake na kipaji kikubwa anafahamika kuwa contradicting figure ana nyimbo inaitwa never call you a bitch ila Ngoma kibao zilizofata ulikua bitch this bitch that, unasema alijibu hivo kuhusu kuzaa ila Moja ya Ngoma zangu pendwa kutoka kwake ni letter to my unborn child! Pia zingatia alikufa na Miaka 25 tu pengine angezalisha soon kabla hata ya kufika 30.. case closed.
 
Back
Top Bottom