Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Hatimaye tutakwisha tusipotafuta watoto
Mkuu GT Basi jilaani kwanini ulizaliwa.Tumeshaongea sana humu kuhusu Hilo , Kuna ukweli mkubwa sana kuhusu bandiko lako
Tatizo ni ile mentality tuliyo mezeshwa na Jamii zetu kwamba binaadamu anapaswa kuzaa lakini in reality Dunia sio sehemu salama Kwa binaadamu
Kuna msemo wa kijinga kwamba kila mtoto huja na riziki yake hapa duniani💀☠️ upuuzi😵💫😵💫😖
Tumeshaongea sana humu kuhusu Hilo , Kuna ukweli mkubwa sana kuhusu bandiko lako
Tatizo ni ile mentality tuliyo mezeshwa na Jamii zetu kwamba binaadamu anapaswa kuzaa lakini in reality Dunia sio sehemu salama Kwa binaadamu
Kungekuwa Kuna kushirikishwa before ya huo mchakato wakuja kuishi huku nisinge kubali hiloBaba Hearly angekuwa na mawazo haya tungekuona wapi sie?
Wenye vizazi waachwe wazae.. mnaotunza mayai tunzeni mkaangie chips
Mara nyingi tuMkuu GT Basi jilaani kwanini ulizaliwa.
Sijui umenielewa my point is uwepo wa binaadamu ni Benefits Kwa watawala wafanya-biashara and the likes ili waweze kuendelea kutajirika na vizazi vyao viendelee kubaki kuwa kwenye chain ya utawala + utajiri wana hitaji watu
Watu ndio mtaji wa kwanza katika maisha ya opportunities, watauza madawa watakusanya Kodi , watauza mbolea watauza Mavazi watauza silaha watauza vyakula watauza Vyombo vya usafiri etc
So endapo binaadamu tukiwa hatuzaliani Tena it means next 300 yrs to come binaadamu hawato exist Tena duniani
So do you think Hilo kundi la watu tajwa linalo tawala watu katika nyanja mbali mbali litakubali binaadamu watoweke halafu wao wata tajirika vipi !? Kodi watapata wapi !? Bidhaa zao wata muuzia nani Tena !?
Tupac source ya kifo chake imesha tajwa Sana mbona p.didy was behind that , Hata documentary ya the reckoning aliyoiachia 50 cent imegusia hizo habariYes nalijua hilo but tukiamua tunaweza.
Na hao wamiliki wa dunia hawataki hata kusikia kuhusu hilo. Inasemekana Tupac aliuwawa kwa sababu hiyo..
So haitakuwa kazi nyepesi lakini inawezekana
Yawezekana mkuu huna mbegu za kuzalisha au hauko rijali kama Bashite, hivyo unaamua kujificha kwenye kivuli cha maneno ya Tupac.Aliwahi kuulizwa " Kwanini huna mtoto Hadi sasa hivi?" Akajibu " Siwezi kuleta binadamu aje kuishi kwenye duniani hii yenye kutawaliwa na waovu na kila aina ya uovu. Kwa kufanya hivyo nitakuwa nimewatendea watoto wangu uovu mkubwa sana.. "
Ukiyatafakari maneno ya Tupac ni kama alikuwa na hoja... Sasa hivi pia kuna movement ya watu wanao kampeni Rhodi ya kuzaa watoto.. Wanasema " Hakuna binadamu muovu kama yule anae leta mtoto duniani. Kwa sababu unajua kabisa dunia ni ovu na inatawaliwa na waovu na matendo mengi maovu lakini bado unadiriki kuleta watoto duniani. Unafanya hivyo ili iweje?
Unajua duniani kuna magonjwa, kuna kifo etc lakini bado unaleta watoto. Wewe uta kuwa ni muovu na mbinafsi sana" Watu Hao wanaendesha kampeni ya kuwashawishi watu waache kuzaa ili kuwaepusha watoto wao na uovu wa dunia, na kauli mbiu Yao ni " I LOVE MY CHILDREN SO MUCH TO BRING THEM TO THIS EVIL WORLD ".
Ukitazama kwa makini utagundua kuna chembechembe za ukweli ndani yake, hata kwa upande mwingine watu wasio na watoto ndio wanaishi kwa Uhuru na furaha zaidi kuliko watu wasio na watoto. Wema Sepetu anaweza kuwa na furaha zaidi kuliko wewe mwenye watoto. Ikitokea habari " Mtoto kalawitiwa" ni wewe mwenye watoto ndio unakuwa desperately ku coment * Mungu nilindie kizazi changu".
There is something which is not right about the life in this world. Dunia haikuwa tayari kupokea watu ama Sisi ndio hatukua tayari kuishi kwenye safari. Yawezekana tupo hapa duniani kimakosa..
Hahahahahaaaaa 😆😅🤣😂Mara nyingi tu
Mwisho wa watoto wako ni kifo. We huoni kwamba wewe ndio chanzo halisi cha " Vifo" vya watoto wako?Maisha yapo kwa kutegemeana
Uzee nao unahitaji watoto wa kuutimiliza
Huyu mtoa uzi siyo ridhiki ndiyo maana anatafuta justification ya kutokuwa na watoto. Who is Tupac after all mpaka leo ufuate alichofanya?Tupac source ya kifo chake imesha tajwa Sana mbona p.didy was behind that , Hata documentary ya the reckoning aliyoiachia 50 cent imegusia hizo habari
Eleza maoni yako kuhusu kifoMwisho wa watoto wako ni kifo. We huoni kwamba wewe ndio chanzo halisi cha " Vifo" vya watoto wako?
Wewe mwenye mbegu za kuzalisha ndio ukiona habari ya mtoto kulawitiwa unakuwa wa kwanza kukomenti " Mungu nilindie kizazi changu"Yawezekana mkuu huna mbegu za kuzalisha au hauko rijali kama Bashite, hivyo unaamua kujificha kwenye kivuli cha maneno ya Tupac.
Mkuu achana na wendawazimu we walete tuAliwahi kuulizwa " Kwanini huna mtoto Hadi sasa hivi?" Akajibu " Siwezi kuleta binadamu aje kuishi kwenye duniani hii yenye kutawaliwa na waovu na kila aina ya uovu. Kwa kufanya hivyo nitakuwa nimewatendea watoto wangu uovu mkubwa sana.. "
Ukiyatafakari maneno ya Tupac ni kama alikuwa na hoja... Sasa hivi pia kuna movement ya watu wanao kampeni Rhodi ya kuzaa watoto.. Wanasema " Hakuna binadamu muovu kama yule anae leta mtoto duniani. Kwa sababu unajua kabisa dunia ni ovu na inatawaliwa na waovu na matendo mengi maovu lakini bado unadiriki kuleta watoto duniani. Unafanya hivyo ili iweje?
Unajua duniani kuna magonjwa, kuna kifo etc lakini bado unaleta watoto. Wewe uta kuwa ni muovu na mbinafsi sana" Watu Hao wanaendesha kampeni ya kuwashawishi watu waache kuzaa ili kuwaepusha watoto wao na uovu wa dunia, na kauli mbiu Yao ni " I LOVE MY CHILDREN SO MUCH TO BRING THEM TO THIS EVIL WORLD ".
Ukitazama kwa makini utagundua kuna chembechembe za ukweli ndani yake, hata kwa upande mwingine watu wasio na watoto ndio wanaishi kwa Uhuru na furaha zaidi kuliko watu wasio na watoto. Wema Sepetu anaweza kuwa na furaha zaidi kuliko wewe mwenye watoto. Ikitokea habari " Mtoto kalawitiwa" ni wewe mwenye watoto ndio unakuwa desperately ku coment * Mungu nilindie kizazi changu".
There is something which is not right about the life in this world. Dunia haikuwa tayari kupokea watu ama Sisi ndio hatukua tayari kuishi kwenye safari. Yawezekana tupo hapa duniani kimakosa..
Kifo ni kifoEleza maoni yako kuhusu kifo
Halafu nitajibu.
Mkuu achana na wendawazimu we walete tu