Tupac aliwaza mbali sana kuhusu suala la kuleta watoto duniani

Tupac aliwaza mbali sana kuhusu suala la kuleta watoto duniani

Kwanini ulete mtu duniani ambae mwisho wake itakuwa ni kufa na siku ya msiba wake watahuzunika watu wengi sana? Hujioni kuwa wewe ni muovu na mbinafsi? Usiejali hisia za watu watakao Lia kwenye msiba wa mtoto wako? Au hujasikia methali isemayo " Mtaka nyingi nasaba hupata mingi msiba"?


Anyways hilo swali Lako ligeuze upande. Ukileta watoto duniani unawaleta kwenye dunia ya waovo so unawaweka kwenye risk ya kuwa victims ya uovu na waovu.
je uwepo wa mateso na maovu unamaanisha maisha hayafai kuendelea?
 
Kwa hiyo wewe hujali kuhusu " Uhai" ama " Uwepo" wa watu wengine? Nyie ndio mnafanya dunia iwe sehemu mbaya ya waru kuishi
Najali sana kuhusu uhai ndio maana nataka hata wengine waje kama nilivyokuja mimi

Wewe ungesema watu waungane kuifanya dunia iwe sehemu salama ya kuishi sio kusema watu wasizae kabisa
Halafu wasipozaa?
 
Najali sana kuhusu uhai ndio maana nataka hata wengine waje kama nilivyokuja mimi

Wewe ungesema watu waungane kuifanya dunia iwe sehemu salama ya kuishi sio kusema watu wasizae kabisa
Halafu wasipozaa?
Wasipo zaa? Watakuwa extinct. Alie waumba ataumba watu wapya wasio na uwezo wa kufanya uovu na dunia itakuwa salama..


Kufanya dunia iwe sehemu salama? Hata kwenye mafundisho ya dini mnaambiwa Hilo halitowezekana mpaka Yesu aje
 
Swali haina mbele halina nyuma swala liko hivi kwa kua umesema dunia ni ya waovu na unahamasisha watu wasizaane

Ajabu wewe bado upo kwenye hiyo dunia ya waovu huoni kama ni unafiki kuendelea kubaki hapa?

Huku wewe hutaki kuondoka ila unataka wengine wasije?

Yes nataka wasije kwa sababu sitaki waje kwenye dunia yenye uovu mkubwa kiasi hiki. I love them.. Wewe unaetaka waje u don't love them..
 
Back
Top Bottom