Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Hapo ndicho nilikua nasema mimi kwamba jamaa ndo alikua anaanza tu na angeweza kuwa zaidi mbele, ila kifo chake kikamwongezea nyota, ila kwa alipo ishia hakustahili kuwa king.
 
Walileta msisimko kwenye hiphop, wakaigawa Marekani pande mbili ktk upande Wa vijana, Serikali ikaingilia kati hata ikaona kuna haja ya kuusambaratisha huu utengano,so kwa hayo tu yanatosha kuwaita kings of hiphop
Ila utengano wa east na west coast ulikuwepo kabla wao ndo walileta amsha amsha.
 
2pac alikuwa na uwezo kuliko Big. 2pac alikuwa target kwa secret society 2pac akawastukia wakaamua kumuundia zengwe na kumnyanyua BIG lengo nikuwagombanisha! Siku Assassination yake ikitokea watu wajue ni ugomvi wao ndiyo umesababisha na hilo lilifanikiwa. 2pac alikuwa kichwa sana.
 
Hapo ndicho nilikua nasema mimi kwamba jamaa ndo alikua anaanza tu na angeweza kuwa zaidi mbele, ila kifo chake kikamwongezea nyota, ila kwa alipo ishia hakustahili kuwa king.
Ndani ya muda wake mchache alifanya makubwa hiki ndio kinampa huo ufalme, katika hiyo top 3 yako tafuta mmoja tu ambae alifanya makubwa kwa muda mchache ambao tupac alifanya kazi..

Tupac alileta mabadiliko fulani kwenye game.

Wamekufa wangapi mzee achia mbali kuwa kings, ila pia dunia ishawasahau.
 
Ila utengano wa east na west coast ulikuwepo kabla wao ndo walileta amsha amsha.
Madhara ya kabla ya wao hayakuwa makubwa na sura mbaya kama kipindi chao. Tena huo utengano Wa kabla sana sana uliegemea kwenye kutambiana kimashari,utajiri nk. Hawa walileta vivo vingi ktk utengano wao kitu ambacho kilikuwa tishio sana kwa serikali
 
Na serikali 2pac alikua akijihusisha sana na gangs kutokana na influence yake ilikua ni tishio sana kiusalama na kusambaza itikadi za ki thug ndo maana jela ilikua inamtafuta sana huyu jamaa.
 
Waliopata mafanikio zaidi hata ya Tupac kwa muda mfupi kuna Lil wayne, Eminem na hawa wangekufa ingukua zaidi ya story. Mimi sikatai kama jamaa alikua juu ila kifo chake kime mwongezea nyota sio siri kama huyu jamaa ya juzi Nipsey Hussle wengi hata hawaelewi alifanya nini kwenye game ila ndo ka boom ghafla.
 
Madhara ya kabla ya wao hayakuwa makubwa na sura mbaya kama kipindi chao. Tena huo utengano Wa kabla sana sana uliegemea kwenye kutambiana kimashari,utajiri nk. Hawa walileta vivo vingi ktk utengano wao kitu ambacho kilikuwa tishio sana kwa serikali
Nakubali Tupac alikua mtu wa gangs sana.
 
Hakuna cha kubooma wala nin nipsey alichokipata ni ule mshituko wa kifo, tizama kama sasa kuna mtu anzungumizia..

Mkuu unaweza kunitajia mafanikio ya hao watu wawili kwa muda huo mfupi..
Hawa wameikuta njia imeahchongwa.
 
Ni kweli pac alivuma kwa muda mfupi kabla hajafikwa na umauti --''lakini mambo aliyo yafanya kwa muda mfupi kutokana na ubunifu wake alionao katika Sanaa --Ni makubwa sana. . Imewachukua muda mrefu sana wasanii wengine kama jay z .Eminem. Na Nas kuweza kuwa na fan base kubwa katika tasnia ya music wa hip hop --kitu ambacho ilikuwa ni tofauti na pac..

So pac ana deserve kuwa king. .kwa sababu hizo nilizo zitaja. .aliweza kufanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi tena akiwa na umri mdogo tu. ..mbaya zaidi music wake mpaka sasa hivi bado Unaishi. .. wimbo kama wa pac life ulitoka mwaka 2007 miaka 11 baada ya kifo chake. .Lakini ni wimbo ambao ulifanya vizuri sana sokoni licha ya yeye kutokuwa hai -''hiyo ni moja ya alama ya kuweza kutambua uwezo mkubwa alionao hayati 2pac. ...
Hapo ndicho nilikua nasema mimi kwamba jamaa ndo alikua anaanza tu na angeweza kuwa zaidi mbele, ila kifo chake kikamwongezea nyota, ila kwa alipo ishia hakustahili kuwa king.
 
Na serikali 2pac alikua akijihusisha sana na gangs kutokana na influence yake ilikua ni tishio sana kiusalama na kusambaza itikadi za ki thug ndo maana jela ilikua inamtafuta sana huyu jamaa.
Hapana mkuu 2pac alikuwa anawatetea sana weusi sema wazungu kuna mengi wamedanganya ili kumshusha mtu mweusi.
 
Tupac alikuwa vizuri shida tu matusi alizidisha kwa kweli nyimbo nzima unakuta matusi tu.

Japo baadhi aliimba fresh na huwa nazikubali sana

Kama dear mama, changes na baby dont cry.
Ila nyingine nyingi matusi mengi kwa kweli.
 
Kweli wewe makaveli10 unajua muzik salute kwako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…