Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Ongezea na hii 'hit e'm up'
 
Hakuna cha kubooma wala nin nipsey alichokipata ni ule mshituko wa kifo, tizama kama sasa kuna mtu anzungumizia..

Mkuu unaweza kunitajia mafanikio ya hao watu wawili kwa muda huo mfupi..
Hawa wameikuta njia imeahchongwa.
Njia ipi hio aliochonga PAC?
 
Kumbe point yangu unaielewa, Kwa hio unavyodhani shakur na biggie wangekuwepo hadi leo wamgekua wakali kama jigga na Eminem.
 
Embu fikiria muda mfupi Walioishi duniani na impact yao!! Akili kubwa.
 
Embu fikiria muda mfupi Walioishi duniani na impact yao!! Akili kubwa.
Mkuu chukulia migos au Travis Scott au cardi b au Chance the rapper wakafa leo si mtasema kwa muda mfupi wame achieve makubwa. Point yangu ni kwamba isinge kua kifo leo hawa jamaa wangekua kati legends kama kina dre, snoop na ice cube.
 
Hao uliowataja sasa ukimuondoa card b..ndio wako overrated. .Majina makubwa lakini uwezo 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…