Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Pac alikuwa mtu hatari!! Acha awe king tu wa hip hop heshima inamfaa, mie naona yeye ndio kama alibadilisha game kutoka ile style ya kurap ambayo dunia nzima ilikuwa inatumia mpaka ikawa kila mtu anarap anavyojisikia!! Ndani ya umri mdogo alifanya mambo makubwa katika game ya hip hop!!

Mziki kama mziki ninavyotafsiri mimi mziki ili uwe mzuri aidha uwe unasikilizika(kuburudisha) ama uwe unafunza(maneno fulani kuntu) au uwe na vyote.

1. Kusikilizika music, namaanisha uwe mtamu masikioni, hapa hata km mtu haelewi mashairi, haelewi kilichoimbwa, lakini uwe mziki mtamu masikioni utapendwa, kina psy na gungnam style, sijui usiniseme kama napenda kula kina ali kiba, sijui despacito, unakuta mtu hajui kilchoimbwa au mashairi hayana kitu ila kwakuwa ni mtamu masikioni mwake unakuwa mziki mzuri

2.kufundisha, sijui nitumie neno kufundisha ama nisemeje sijui hapa nazungumzia mashairi kuwa mazuri, yaani mtu anaupenda muziki kwa mashairi na sio kusikilizika masikioni,hapa inalenga wanaoelewa mashairi, unamkuta mtu anapenda nyimbo fulani we unaweza kuita wa kawaida kumbe ni mtu anasikiliza message ya mule!

Hip hop kama hip hop imebase kwenye mziki mzuri wa aina ya pili, wasikilize kina fid q, sijui jigga, eminem, kendrick na wengineo utanielewa hapa, hata kama mziki sio mtamu masikioni ila mashairi yake tu yanamfanya mtu akakipenda kitu..

Turud kwa tupac, pac alikuwa na mziki mzuri kwa kusikilizika hata kama huelew kinachoimbwa na mashairi mazuri kwa pamoja
Sikiliza
Dear mama
I aint mad at cha
Untill the end of time
Keap ya head up
So many tears
Change
Me n my girlfriend

Nakadhalika nakadhalika.

Binafsi namuelewa mno pac anahitaji heshima yake, naamin jamaa alikufa akiwa bado hajafikia kilele chake, ndio kwnza alikuwa anasogea kwenye peak yake sijui angeipata peak yake ingekuwaje, now angekuwa na heshima zaidi, sijui kama asingekuwa mwanamuziki milionea pia, tizama toka alipoanza mpaka kifo chake jamaa alikuwa kwenye graph yake ndio kwanza anapanda.
Ongezea na hii 'hit e'm up'
 
Hakuna cha kubooma wala nin nipsey alichokipata ni ule mshituko wa kifo, tizama kama sasa kuna mtu anzungumizia..

Mkuu unaweza kunitajia mafanikio ya hao watu wawili kwa muda huo mfupi..
Hawa wameikuta njia imeahchongwa.
Njia ipi hio aliochonga PAC?
 
Ni kweli pac alivuma kwa muda mfupi kabla hajafikwa na umauti --''lakini mambo aliyo yafanya kwa muda mfupi kutokana na ubunifu wake alionao katika Sanaa --Ni makubwa sana. . Imewachukua muda mrefu sana wasanii wengine kama jay z .Eminem. Na Nas kuweza kuwa na fan base kubwa katika tasnia ya music wa hip hop --kitu ambacho ilikuwa ni tofauti na pac..

So pac ana deserve kuwa king. .kwa sababu hizo nilizo zitaja. .aliweza kufanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi tena akiwa na umri mdogo tu. ..mbaya zaidi music wake mpaka sasa hivi bado Unaishi. .. wimbo kama wa pac life ulitoka mwaka 2007 miaka 11 baada ya kifo chake. .Lakini ni wimbo ambao ulifanya vizuri sana sokoni licha ya yeye kutokuwa hai -''hiyo ni moja ya alama ya kuweza kutambua uwezo mkubwa alionao hayati 2pac. ...
Kumbe point yangu unaielewa, Kwa hio unavyodhani shakur na biggie wangekuwepo hadi leo wamgekua wakali kama jigga na Eminem.
 
Binafsi naona hawa jamaa hawastahili kuwa kings of hip hip, vifo na media ndio vimefanya wawe overrated ila ndo kwanza walikua wanaanza kuishika game sidhani kama wangekua hai hadi leo wangekua respected sana kama ilivyo sasa. Wewe unaonaje?View attachment 1137104
Embu fikiria muda mfupi Walioishi duniani na impact yao!! Akili kubwa.
 
Embu fikiria muda mfupi Walioishi duniani na impact yao!! Akili kubwa.
Mkuu chukulia migos au Travis Scott au cardi b au Chance the rapper wakafa leo si mtasema kwa muda mfupi wame achieve makubwa. Point yangu ni kwamba isinge kua kifo leo hawa jamaa wangekua kati legends kama kina dre, snoop na ice cube.
 
Mkuu chukulia migos au Travis Scott au cardi b au Chance the rapper wakafa leo si mtasema kwa muda mfupi wame achieve makubwa. Point yangu ni kwamba isinge kua kifo leo hawa jamaa wangekua kati legends kama kina dre, snoop na ice cube.
Hao uliowataja sasa ukimuondoa card b..ndio wako overrated. .Majina makubwa lakini uwezo 0
 
Back
Top Bottom