Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Huwa najiuliza tupac alikufa na 25 years but dunia nzima ilimjua na utandawazi hukuwepo.
How comes
 
Tunao Wajua migos. .ni sisi ambao hatukauki mitandaoni na ambao tu nafuatilia media mbali mbali za burudani kutoka Majuu ...Lakini mitaani migos hakuna anaye Wajua mkuu ....

Ndio maana hauwezi kukuta dala dala .Au t-shirt zenye sura zao zikiwa zimevaliwa na watu ..Pia hauwezi kukuta wakiwa wame chorwa kwenye mabanda ya wasanii au picha zao kuwa printing kwenye barbershop -- wakati hayo yalikuwa yanafanyika sana kwa watu walio itendea haki game kuanzia pac.big .Eminem. Jigga. Lil tunch. 50 cent .drake. Kanye. Etc

Yaani itoshe tu kusema kuwa migos wana pewa chance ya kuhit kwa sababu muziki wa sasa una uhaba wa kuwa na wasanii wa kali. ..
Mzee umeongea point sana hao migos hata siwajui kabisa, Mimi nilikuwa nafatilia muziki kitambo sana na ukiniuliza ngoma za zamani nakutajia zote kuanzia wakina SWV, ZHANE, QUEEN LARIFA, PAC, BIG, MASE, JUDGE AGE, ALL FOR ONE, KRISS KROSS, DMX, NA WENGINE KIBAO, lakini kwa sasa ili wimbo niujue lazima huyo msanii atoe nyimbo Kali kwelikweli, yaani mimi sasa hivi wimbo ndio unanifata sio mimi kufata nyimbo, ukweli utabaki PAC alikuwa another level kwa umri ule kutoa mingoma mikali vile, hapana kwakweli, ishu PAC alikuwa muhuni sana, Ila watu mbona hawamtaji puff dady? Huyu diddy wa Leo?
 
Pac kafa na miaka 26 tu... wewe mtoa mada katika hiyo age ume achieve kitu gani!? Yaani hapa najaribu kumuelezea pac kidogo..
Yaani hili uliloliandika hapa mimi ndio huwa najiuliza sana huyu mtu alikuwa hatari, na amededi akiwa maarufu kwa miaka kibao jiulize alianza kusumbua lini
 
Walikuwa Violent sana hasa Tupac na Suge Knight na waligawa jamii ya waafrika nchini Marekani....hasa makundi kama Blood and Clip vijana wakawa wanauana sana......nadhani hata vifo vyao kuna mkono wa Serikali ya Marekani

Crips and Bloods zilianza miaka kibao kabla Tupac hata Suge kuzaliwa. Walikuwa wanauana hata kabla Pac na Suge kuzaliwa. Matterfact, Suge na Tupac wana mchango mkubwa sana kwenye kuleta na kudumisha amani baina ya gangs. Suge aliwasaini Dogg Pound, Snoop, na wengine kadhaa waliokuwa affiliated na Crips, na walikuwa wakilindwa na Bloods kama Mob James and 'em.

Do your homework kabla ya kuongea, mkuu. Usipotoshe.
 
Umeona Tupac alikua mhuni sana na known clip member naweza sema PAC ni kati ya watu waliofanya hip hop uonekane mziki wa kihuni.

Wanaitwa Crips, sio 'clip'. Na Tupac hajawahi kuwa member wa gang yoyote, ndio maana alivaa red sometimes blue bandanas. Sidhani kama unajua unachokiongea, mkuu. Hakuna mwana hiphop aliyeimba masuala ya msingi kama Tupac.
 
Tupac Shakur...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Huyu mwamba ni noma
 
Walikuwa Violent sana hasa Tupac na Suge Knight na waligawa jamii ya waafrika nchini Marekani....hasa makundi kama Blood and Clip vijana wakawa wanauana sana......nadhani hata vifo vyao kuna mkono wa Serikali ya Marekani
Tupac na Notorious BIG walikuwa violent kweli, makundi yao yalikuwa ya kihuni Sanaa

Lakini hakuna muhuni kabla yao kama EAZY E then ndio kina DRE na 2PAC

NI KWELI, Vifo vyao vilifanywa na serikali ya marekani....askari wa kizungu ndio aliyempelekea rafiki yake Wallace risasi za kumshoot Tupac usiku ule Tyson akiwa anajiandaa kuingia ulingoni

Huyohuyo akatengeneza mazingira ya BIG kuuwawa.

Hata wale washkaji zake Tupac aliochana nao kwenye nyimbo nyingi...wale. Wahuni wote waliokuwa wanajiita Idd Amin, San Abacha, Mobutu n.k. wote walikuja kuuawa kinamna namna kasoro yule Ustadh wa Saudi Arabia now.....!

Mmoja wao alitoroka akaenda kuishi Nairobi then akaishi Arusha, pale uzunguni nyumba yake ya ghorofa moja inaangaliana na uwanja wa uzunguni pale karibu na shule ya Prime...!

Yeye ndiye alikuwa anawapa itikadi na kampani kina JCB, Spark na wana hiphop wa mwanzoni Arusha.

Hahaha...alikuwa anasema wazi kabisa akiwa serious kuwa ukikuta Mtu mweupe (Mzungu) mahali popote muue tu, na alishamtemea mate usoni mzungu pale mbele ya NBC bank akiwa anatoka nje.

Kauli yake ilikuwa ''Just kill them All n I ll take your case''

Alikuja kuwa rasta na mama yake ni Mjamaica.

Ukipata wasaa wa kukutana naye atakueleza mengi sana kuhusu BIG na 2PAC na vifo vyao na atakuonesha picha tangu wakiwa wadogo shuleni na kina 2pac.
 
Haha didy -- hana uwezo mkubwa wa kuflow na kutunga mashairi makali - ila ni somebody anayejua Ku - fanya production sana 'na nimshauri mzuri pia wa music. ..
Mzee umeongea point sana hao migos hata siwajui kabisa, Mimi nilikuwa nafatilia muziki kitambo sana na ukiniuliza ngoma za zamani nakutajia zote kuanzia wakina SWV, ZHANE, QUEEN LARIFA, PAC, BIG, MASE, JUDGE AGE, ALL FOR ONE, KRISS KROSS, DMX, NA WENGINE KIBAO, lakini kwa sasa ili wimbo niujue lazima huyo msanii atoe nyimbo Kali kwelikweli, yaani mimi sasa hivi wimbo ndio unanifata sio mimi kufata nyimbo, ukweli utabaki PAC alikuwa another level kwa umri ule kutoa mingoma mikali vile, hapana kwakweli, ishu PAC alikuwa muhuni sana, Ila watu mbona hawamtaji puff dady? Huyu diddy wa Leo?
 
Kabisaaaaa
Wanaitwa Crips, sio 'clip'. Na Tupac hajawahi kuwa member wa gang yoyote, ndio maana alivaa red sometimes blue bandanas. Sidhani kama unajua unachokiongea, mkuu. Hakuna mwana hiphop aliyeimba masuala ya msingi kama Tupac.
 
Apa alikuwa anatemea mate wazungu, ingia YouTube search " Tupac that my new style
90s.hiphop.rnb-20190624-0001.jpeg
 
Tupac alikuwa Mtanzania!
Anatoka ukoo wa akina Shukuru
 
Tupac akuwai kuwa member wa gangs yoyote,,, snoop ndiye rafiki wa karibu aliye mponza Tupac
tupac.nz-20190625-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom