Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hospital zitafungwa,hawawezi survive bila kuweka mrija hazinaSerikali ijenge zao
Hee KAZI ipoHospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Ubia yeye anajua ni bia za Serengeti lite na castle light.Unaelewa maana ya Ubia?
Make sure it is connected...Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
kwani ni nchi gani hizo? usitutoe kwennye Bandari, zimeuzwa au zimekodishwa?Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Huo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
- Mkataba baina ya serikali na hosptali/vituo vya afya vya RC unaweza kuvunjwa ikiwa pande unaotaka kuvunja utatoa 'notice' miaka 3 kabla ya tarehe ya kusudio.
- DP kaokota dodo mbivu: BANDARI ZOTE ZA BAHARI NA MAZIWA, NA SPECIAL ECONOMIC ZONE ni Mali yake milele. Yaani kampuni inamiliki utajiri wote muhimu wa nchi, hata kama isipiendeleza miongo kadhaa.