Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

Unamdanganya nani babu!?..na kuondoa ushuru kwa bidhaa za taasisi za dini pale bandarini ni serikali ndiyo iliyotaka au ndiyo utenda kaza wa mfumo kristo!?..mawakala wa kanisa kutafuta namba ya kulipa unafuu kanisa!?
Taasisi zote za kidini ziliondolewa ushuru pamoja na za kiislamu. Huo unao uita mfumo Kristu ndio unaowatolea huduma ndugu zako huko vijijini ambako hospitali za serikali hazina madaktari, vifaa na dawa.

Amandla...
 
Kikubwa mambo yanaenda na hao Dp wapewa kwa kuangaliwa performance yao kama kweli waliyoahidi yatatimia .

Msipende sana siasa hii nchi inatakiwa kupata maendeleo ya haraka tumechelewa sana.
 
Huo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
Kumbe unalalamikia mkataba ambao hata haujauona? Serikali ya Rais Muislamu ndio iliyioingia katika hiyo MoU baada ya serikali kushindwa kuzihudumia hizo hospitali. Bahati mbaya wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa wakati hizo hospitali zilikuwa zimetaifishwa.

Sasa Rahsi muislamu manaake ni nini? Ndo tuibiwe kwasababu alisainiwa na Raisi muislamu chini ya shindikizo la Nyerere, mbona wewe una udini suala la taifa mnaleta udini.
 
Sasa Rahsi muislamu manaake ni nini? Ndo tuibiwe kwasababu alisainiwa na Raisi muislamu chini ya shindikizo la Nyerere, mbona wewe una udini suala la taifa mnaleta udini.
Rahsi ndio nini? Rais Mkristu Julius Nyerere ndie aliyezitaifisha sasa kwa nini amshinikize Rais Mwinyi awarudishie wale aliowanyang'anya? Udini mnaleta nyinyi ambao kila kitu mnakiangalia kwa jicho la victim wa mfumo mnao uita wa kikristu. Shida yenu hamtaki kusoma historia ili mjue ukweli wenyewe.

Amandla...
 
bugando na kcmc zote ni za serikali nyerere mungu amlaani ndio aliyewapa makanisa na serikali inalipa mishahara hapati chochote na haina ubia wala sheya, katika marais walioivuranga tanzania ni nyerere, kataifisha majumba ya waislamu kawapa NHC katuletea bakwata kuuwa uislamu, bakwata ni wakristo walivaa kanzu
Unataka serikali ipate nini katika Hospitali zaidi ya raia wake kutibiwa magonjwa na kuongezewa urefu wa maisha wasife mapema??
 
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Mnadhani kuna Mtanganyika anayejitambua mtamwondoa kwenye reli Kwa hoja dhaifu kama hizi? Waislamu wengi wametibiwa Bugando, KCMC, Ikonda, na DDHs zote nchini. Wakristo wengi wamesoma shule na vyuo vya Kiislamu akiwemo Mtoto wa Kaka yangu na huwezi kumwambia Waislamu ni wabaya akakuelewa. Tukwambie Wazi na machawa wenzio wabangaizaji, hata mlete hoja gani bila kurekebisha mkataba wa Kimangungo wa Bandari za Tanganyika hatutarudi nyuma. Leteni sarakasi, mdundiko, mdumange, kibati na hata Makirikiri. HATUDANGANYIKI.
 
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
KCMC NA BUGANDO ni mali ya kanisa. Serikali iliwaomba waingie ubia katika kutoa huduma za kitabibu pekee na syo vifaa tiba.
Na syo bugando tu hata kuna za wilaya pia DDH ni kwa kuwa serika haikuwa na uwezo wa kuwa na infrastructures zake na uwezo wa kutoa huduma across the entire country
 
Taasisi zote za kidini ziliondolewa ushuru pamoja na za kiislamu. Huo unao uita mfumo Kristu ndio unaowatolea huduma ndugu zako huko vijijini ambako hospitali za serikali hazina madaktari, vifaa na dawa.

Amandla...
Hizo ruzuku ziende kwenye hizo hospital za serikali vijijini ambazo hazina vifaa tiba na madaktari badala ya kusaidia biashara za kanisa
 
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Zimejengwa na makanisa, zinaendeshwa na makanisa, ni mali ya makanisa!
Serikali inapeleka wataalamu kwa kuwa ina uhaba wa hospital, na kazi ya kutoa huduma ni kazi yake
 
Unataka serikali ipate nini katika Hospitali zaidi ya raia wake kutibiwa magonjwa na kuongezewa urefu wa maisha wasife mapema??
Raia wake wanatozwa pesa ndefu wakati serikali inatoa ruzku kwa hizo taasisi, mpaka lini seriksli ipate uwezo wa kuendesha tasisi zake, hio mkataba kwanini hauna kikomo, kanisa katoliki inaibia serikali na ummah kwa jumla.
 
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Serikali irudishe taasisi nyingi ilizopora kutoka kwa Wakatoliki na Wskristo.
 
KCMC NA BUGANDO ni mali ya kanisa. Serikali iliwaomba waingie ubia katika kutoa huduma za kitabibu pekee na syo vifaa tiba.
Na syo bugando tu hata kuna za wilaya pia DDH ni kwa kuwa serika haikuwa na uwezo wa kuwa na infrastructures zake na uwezo wa kutoa huduma across the entire country
Wee acha serikali inauwezo wa kujenga SGR kwa trion ya pesa ina nunua ndege kwa billions za pesa itashindwaje kujenga hospitali kama bugando kwa miaka yote, kiasi kwamba huo ubia hauna kikomo siku zote haitakua na uwezo wa kujenga hospitali zake ijitegemea, ukweli ni kwamba kanisa inafaidika sana na huo mkataba wa ubia ndo maana hawataki uguswe au ujadiliwe hadharani.
 
Unaweza kulinganisha gharama za kutibiwa KCMC na Aga Khan? Aga Khan haikuingia katika MoU kwa sababu hospitali ya Aga Khan haijawahi kutaifishwa wakati za wakristu zilitaifishwa. Ndio maana hata Bakwata haikuhusika kwa sababu shule yao ya sekondari ya Kinondoni haikuwahi kutaifishwa. Shule za wahindu ( Jangwani na Azania) hazikurudishwa kwa wahindu. Shule za wa Ismailia ( Tambaza na Zanaki) zilirudishwa kwa makubaliano maalum baina yao na serikali. Kwa mfano walirudishiwa hostel zao.

Pamoja na kuonyesha chuki wazi wazi dhidi ya taasisi za kikristu, huko mikoani na vijijini wananchi wa kawaida ( wakristu, waislamu, wanao fuata imani za asili, rasta n.k.) wengi wanazitegemea kuliko hizo za serikali.

Amandla...
Unaongeaongea togwa gani we mbuzi!!?..yaani kigezo Cha ruzuku iwe kuwahi kutaifishwa!?..huo ni msaada wa serikali kwa kanisa,imekua hivyo tangu mkoloni,padre dokta sivalon aliandika bila msaada wa serikali taasisi za kanisa zingekufa kifo Cha mende siku nyingi
 
Hizo hospital zitafungwa,hawawezi survive bila kuweka mrija hazina
Unaota wewe

Waislamu na nyie Jengeni hospitali kubwa zenye hadhi kubwa mahali ambako serikali haina hospitali Serikali itaingia ubia na nyie

Na sio.ubia hasa serikali huwa inapanga kutumia majengo ya hizo hospitali.kwa kutoa baadhi ya huduma.za afya kwa wote zilizo.kwenye mipango yake.Kwa kupeleka wafanyakazi wake,nk .Hivyo hizo hospitali huwa na vitengo viwili cha kanisa na cha serikali. Hicho kinaitwa pesa inalipwa hospitali ya kanisa ni gharama za mishahara ya wafanyakazi wa serikali waliopo hapo na uendeshaji wa shughuli zao na kodi serikali inalipa kutumia miundombinu ya kanisa iliyoko kwenye hiyo hospitali

Si kuwa serikali inamiliki hizo hospitali au ina hisa hapana.Na serikali ikiamua hata kesho kuondoa wafanyakazi wake Hospitali itaendelea na wa kwake bila shida.
 
Hizo ruzuku ziende kwenye hizo hospital za serikali vijijini ambazo hazina vifaa tiba na madaktari badala ya kusaidia biashara za kanisa
Hebu tuseme kwa mfano serikali iondoe hizo ruzuku halafu iruhusu ubaguzi katika utoaji wa huduma katika taasisi za kidini. Matkaani taasisi za kikristu zihudumie wakristu na wafanyakazi wake wote wawe wakristu na hivyo kwa taasisi za kiislamu na kihindu. Taasisi za serikali peke yake ndio zitoe huduma bila kujali dini ya mtu. Unadhani ni wakina nani watadhurika zaidi na uamuzi huo katika waumini wa hizo dini?

Amandla...
 
Unaota wewe

Waislamu na nyie Jengeni hospitali kubwa zenye hadhi kubwa mahali ambako serikali haina hospitali Serikali itaingia ubia na nyie

Na sio.ubia hasa serikali huwa inapanga kutumia majengo ya hizo hospitali.kwa kutoa baadhi ya huduma.za afya kwa wpte.Kwa kupeleka wafanyakazi wake .Hivyo hizo hospitali huwa na vitengo viwili cha kanisa na cha serikali. Hicho kinaitwa pesa inalipwa hospitali ya kanisa ni gharama za mishahara ya wafanyakazi wa serikali waliopo hapo na uendeshaji wa shughuli zao na kodi serikali inalipa kutumia miundombinu ya kanisa iliyoko kwenye hiyo hospitali

Si kuwa serikali inability hizo hospitali au ina hisa hapana.Na ikiamua hata kesho kuondoa wafanyakazi wake Hospitali itaendelea na wa kwake bila shida.
Asante kwa ufafanuzi mzuri kuliko wangu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom