Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

Mjinga ka wewe sijui unaendeleaje kuishi, better ungekufa. Badala ya kujenda hoja unaharibu kabisa dhamira safi ya rais Samia. Hivi unadhani wanaopona kwa kutibiwa KCMC au Bugando ni wa kristo tu??? Idiot kabisa.
utakuwa KUPE
 
Same applies to Bandari. Serikali Haina uwezo wa kuiendesha kama ilivyotoa fursa kwa bugando na kcmc
Kila kitu kina pande mbili positive na negative. Sasa tukijadili hayo swali ni je serikali yetu inauwezo wakuhudumia hao wagonjwa?
Nikukumbushe jambo moja dogo kwa usalama wa nchi?

1. Tulikuwa na viongozi wakubwa wa nchi hii ambao umauti uliwakuta wakiwa nchi jirani ( hospitali za wenzetu ). Hivi kama viongozi hao wanaumwa na wanapelekwa nje? unadhani ndani ya nchi kutakuwa na huduma yeyote ya afya hata yakuweza kuwahudumia raia wake wakiwa wagonjwa?
 
Ningependa kujua ni % ngapi ya fedha kutoka USA,EU na UK Ipo katika bajeti ya Wizara ya Afya na kama nchi hizo zinakubali fedha zao kutumika katika hospitali za 'misheni'?
Pili mashirika mengine ya dini yamekataliwa kuingia mikataba kama hiyo ya TEC na KKKT?
Tati kuna wilaya zenye hospitali za TEC au KKKT wakazi wengi wakiwa si waumini wa hayo madhehebu. Je huduma za hospitali hizo kwa miaka mingi hata kabla ya Uhuru leo hii hazithaminiwi?
 
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Una matatizo sio Bure
 
Warudishe pia ikulu na hospital ya ocean road kwa waislam
Ikulu na Hospitali ya Ocean road zilijengwa na waislamu? Na reli ya kati igawanywe vipande vipande ili wapewe wagogo, wanyamwezi n.k. maana imepita katika maeneo yaliyokuwa wakiyamiliki.

Amandla...
 
Hizo hospitali zinachangia asilimia ngapi ya pato la taifa? Acha kuweka akili zako kwenye nyama zilizo nyuma ya mgongo
Kwani umeshajua dp world atacjangia sh ngapi? Kumbe ndo mana mnabisha bila kuelewa lolote. Dp word atalipa Kodi hivyo atangia katika maendeleo ya nchi. Au unadhani wataoperate free bila kulipa kaodi? Acheni kujichanganya nyie vilaza
 
Hizo hospital zitafungwa,hawawezi survive bila kuweka mrija hazina
Zishindwe kufa hospitali za watu binafsi zije kufa za taasisi kubwa kama kanisa. Kama serikali ndio inafanya ziwepo basi unamaanisha serikali inaendesha vizuri biashara, nitajie project moja kubwa ya kanisa iliyokufa au kuendeshwa kwa hasara nikutajie projects na taasisi zaidi ya 10 za serikali zinazokula hasara na zilizokufa.
 
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari

Mkataba kwa hospital za watu! Serikali inatoa ruzuku tu hakuna mkataba. Ni kama shule private tu
 
Serikali kule Mwanza na kilimanjaro hawana hospitali ya Rufaa wana za kawaida tu tena za kawaida mno
Hospitali ya soukotour mwz ni ya serikali na ya rufaa hospitali ya butimba pia inaweza ķunyanyuliwa kua ya rufaa kwasbb inauwezo wa kutosha kwa nini serikali iendelee kulipa bugando badala ya ku upgrade hodpitali zake?
 
Huo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
Wewe ni Mkristo? Kama unataka mkataba nenda makao makuu ya kanisa.
Na kama wewe ni Mtanzania kafungue kesi dhidi ya serikali mkataba uwekwe wazi. Kwanini utake kanisa lionyeshe mkataba? Kwanini usitake serikali yako ndio ionyeshe huo mkataba.
 
Ningependa kujua ni % ngapi ya fedha kutoka USA,EU na UK Ipo katika bajeti ya Wizara ya Afya na kama nchi hizo zinakubali fedha zao kutumika katika hospitali za 'misheni'?
Pili mashirika mengine ya dini yamekataliwa kuingia mikataba kama hiyo ya TEC na KKKT?
Tati kuna wilaya zenye hospitali za TEC au KKKT wakazi wengi wakiwa si waumini wa hayo madhehebu. Je huduma za hospitali hizo kwa miaka mingi hata kabla ya Uhuru leo hii hazithaminiwi?
Nisinge penda utuaminishe kwamba kanisa zina uwezo wa kifedha wakimkakati kuliko serikali hapana huo mkataba ni wizi mtupu, ndani ya mwaka moja serikali inauwezo wakujenga hospitali kama hiyo ya bugando au kcmc zaidi ya 10, lakini kwanini angan'ganie hayo majengo ya kanisa kama sio ujuma wa mali za ummah
 
Kwani pale Muhimbili mnatibiwa bure? Mnadhihirisha upumbavu wenu kwa kutaka kuuelekeza mjadala wa DP World kuchukua sura ya udini.
Muhimbili 70% mabingwa unajua Wakristo halafu eti analetwa Janabi mislamu atafanya nini mwuisllam? Halafu angalia uteuzi kama NImR analletwa CEO mwislamu wakati wataalamu 95% ni Wakristo atafamyaje? Vyuo vikuu vyote Bara wahadhiri 90% ni wakristo je Samia atafanyaje! Nguvu ya maarifa na technologia duniani ni Wakristo na huo ndo ukweli je mnaelewa?
 
Wewe ni Mkristo? Kama unataka mkataba nenda makao makuu ya kanisa.
Na kama wewe ni Mtanzania kafungue kesi dhidi ya serikali mkataba uwekwe wazi. Kwanini utake kanisa lionyeshe mkataba? Kwanini usitake serikali yako ndio ionyeshe huo mkataba.
Kumbe mkataba sio kwa ajiri ya public wakati wa DP world ni wa public kwanini tuwe na double standard kumbe serikali ilisha bigwa na kanisa miaka 30 ilio pita na wanaendelea kupiga pesa ya watanzania
 
Nisinge penda utuaminishe kwamba kanisa zina uwezo wa kifedha wakimkakati kuliko serikali hapana huo mkataba ni wizi mtupu, ndani ya mwaka moja serikali inauwezo wakujenga hospitali kama hiyo ya bugando au kcmc zaidi ya 10, lakini kwanini angan'ganie hayo majengo ya kanisa kama sio ujuma wa mali za ummah
kwa taarifa yako, kanisa lina uwezo kuendesha mambo yake kuliko serikali. hasa kanisa katoliki, liko vizuri sana kwenye hayo mambo. futeni huo mkataba alafu mtaona kama wanashindwa.
 
Muhimbili 70% mabingwa unajua Wakristo halafu eti analetwa Janabi mislamu atafanya nini mwuisllam? Halafu angalia uteuzi kama NImR analletwa CEO mwislamu wakati wataalamu 95% ni Wakristo atafamyaje? Vyuo vikuu vyote Bara wahadhiri 90% ni wakristo je Samia atafanyaje! Nguvu ya maarifa na technologia duniani ni Wakristo na huo ndo ukweli je mnaelewa?
Wewe ndo unawapa usahili katika form ya ajira kipengere cha dini kilisha ondolewa wewe hizo data unazitowa wapi? Wewe unaonekana ni mdini sana
 
Mkishatumia hayo madawa yenu ya kienyeji ya isuna mnayounza nje ya nyumba zenu za ibada za kuongeza nguvu kupambana na wake wanne, mnaharibu moyo na figo kimbilio lenu ndio hizo hospitali mnazozipigia kelele kwenda kufanyiwa dialysis na matibabu ya moyo
 
Kwahiyo hilo ndo lina justify mkataba wa kunyoonya mali za ummah na kanisa? Lugha chafu unao tumia
 
Back
Top Bottom